Storage ya dhahabu

NARCOS

Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
12
Reaction score
1
Hivi kampuni zipi credible and preferably international zinafanya storage ya dhahabu hapa Dar kabla kupelekwa nje?

Je serikali inayo storage zak?e na rates kiasi gani kwa wiki au kwa mwezi?

Je SGS wanafanya hiyo kazi ya storage?
 
Sadly enough we do not have that facility
Na wanajua kwanini wanafanya hivyo
 
SGS au G4S???

Makampuni mengine wana store vipi gold zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…