Natumai kuwa 90% ya members wa JF mmewahi soma shule za boarding hasa hasa Advance!
Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kupiga story za kianafunzi tulizokuwa tunadanganyana muda ule tulipokuwa tunarejea mabwenini kulala baada ya uchovu mkali tulioupata kwenye usingizi wa prepo tukiwa tumeinamia Chand 1 ya Phys na BS bila kusahau kijitabu cha Ngaiza cha General Chemistry
Naomba sote turudi utoto, tupashane stories hata kama ni gahawa, kikubwa ziwe kianafunzi zaidi, story za chai kuhusu kuchakata mbususu ni sawa! Tusapotiane kwa hili wakuu!
[emoji23][emoji23]
Mkuu, mademu ukichat nao ni kama wanapoteza muda tu, maake ni wanafiki kichizi, ni bora hata mtu nikanunua kipotabo i.e kipochi manyoya cha 6k nikakipiga tako nane nikarejea nyumbani!