Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Sherehe imefana, watu wamekula, wamekunywa kwelikweli maana misosi ilikuwepo ya kumwaga, kilisema chanzo hicho.
kibongobongo, hicho ndo cha muhimu sana.
Hahhhhhhahhhhhaaa nilidhan wamegaiwaa simu hata za tochii
Je kabadili dini au ndoa imefungwa dini gani maana naona samira na paulo
Anaitwa. Khalfan
Je kabadili dini au ndoa imefungwa dini gani maana naona samira na paulo
Ndiyo nashangaa, huyu bwana long time kitambo wakati tunacheza basketball oysterbay kwa kina Master J alikuwa anaitwa Khalfan ila jina la PFunk lilikuwepo Sasa hili jina la Paul. Ndiyo nakuna kichwa.