Stori ya Freddie Mercury: Mzanzibar aliyetikisa ulimwengu, ukweli kuhusu ubiseksuali wake, na mzuka wa wimbo 'Don't Stop Me Now

Ma
Muziki duniani, kama yalivyo mambo mengi, yanaathiriwa sana na siasa na matukio yake. Ukiona influenece ya Siasa za Zanzibar/Cold War, zinarelate sana na utawala wa Mobutu na ukatili wake, ulivyo changia kukua kwa muziki wa Kongo(Rhumba) duniani. Wanamuziki walikimbilia Ubelgiji na ufaransa, wakakuza muziki eneo hilo.
 
Entertainment industry ina mengi sana. Mimi huwa naenjoy tu muziki siangalii kabisa personal side ya mtu. Mwanamuziki pekee siwezi msikiliza, ni anayeimba kupraise mtawala dhalim.

Kuna nyimbo moja ya Franco inaitwa Mobutu Seseko, huwa siisikilizi ile nyimbo. Ingawa ina melody na rhythm kali sana.
 
Kwa hiyo umeamua kum-promote shoga?? Na wewe ni shoga nadhani
Mkuu kwa heshima na taazima naomba usikilize huu wimbo hichi kipaji cha kipekee tukiondoa hayo mengine private tuangalie hichi alichokifanya kweenye sanaa yake ya muziki na kuonyesha kipaji cha uimbaji na utunzi wa wimbo km huu
Your browser is not able to play this audio.
 
Kwenye kipindi cha Masoud Masoud akiwa anamzungumzia Franco na kifo chake na mengineyo kumuhusu Franco alikipiga kipande cha huo wimbo wa Mobutu ndio ilikua mara ya kwanza kuusikiliza
 
Kwenye kipindi cha Masoud Masoud akiwa anamzungumzia Franco na kifo chake na mengineyo kumuhusu Franco alikipiga kipande cha huo wimbo wa Mobutu ndio ilikua mara ya kwanza kuusikiliza
Mwamba aliikimbia Kongo baada ya kutibuana na Mobutu, mambo yakawa tight ikabidi arudi akasalim amri wakatengeneza Alliance kama ya Mfalme Saudi na Sheikh Wahab😀
 
Duh kiongozi unamuita Punga nipo Library nimecheka mpaka watu wanashangaa
Yaani ukishakua maarufu basi kumbuka hata ukifa kesho kuna mafaili fulani fulani ya maisha yako yatabakia kweenye sehemu fulani inayoitwa Internet hayo mafaili yatahifadhi unachosema, ulichosema na ulichokifanya miaka na miaka, sasa moja ya jambo alilofanya Bwana Fredy Mercury ambae hata Masoud Masoud alimuongelea kwenye kipindi chake ila sio kwa angle ile bali kwa angle ya muziki, Bwana Farouk aliolewa ndoa ya jinsia moja huko UK mwaka 1985 akawa mke wa Bwana Jim Hutton, maana yake Farouk alikua shoga mzoefu sio suala la kuficha maana teknolojia haidanganyi na kila kitu kipo wazi tumia hata AI itakwambia kila kitu kuhusu yeye
 
Umemkumbuka role model wako?
 
Duh kiongozi unamuita Punga nipo Library nimecheka mpaka watu wanashangaa
Mimi ni mchambuzi hata wewe usingekua kapuku ungekua mtu maarufu na nikapata taarifa zako ningekuchambua. Ila nikikuchambua hapa nani anakujua labda watu wasingechangia kama unavyoona kwenye huu uzi. ili ugonjwa wako upone naomba kaisome makala hii Tafakari baada ya kusoma kitabu cha "The Invitation": Utu wa dhati dhidi ya Wimbi la "Uchawa", Kujipendekeza, na Viongozi Wanaojinufaisha
 
Ule ambao anamsifia Mobutu kuanzia mwanzo wa wimbo huo mpaka mwishoni mwa huo wimbo yaan km ni kipindi hiki basi tungesema Franco alikua Chawa pro wa Mobutu by that time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…