KingOligarchy
Senior Member
- Sep 28, 2013
- 139
- 375
STORI YA KUFIKIRIKA NA CHATGPT
Kabla sijaanza na mada itabidi kwanza nielezee kwanza maana na baadhi ya vitu kBL sijatoa experience yangu ndani ya mijengo ya FBI na later kwenda CIA nchini marekani.
Kwa wenzetu:
Usalama wa taifa ni taaluma inayohusu ukusanyaji , uchambuzi na uwakilishaji wa taarifa za kiusalama kwa njia za siri. hizi njia za usalama kwa siri kimombo tunaziita "clandestine methods".
The word "clandestine" comes from the Latin word clandestinus, which comes from the Latin adverb clam, meaning "secretly". Synonyms of "clandestine" include: covert, furtive, stealthy, surreptitious, undercover, underground, and underhanded.
usalama wa taifa (ushushushu) ni intellijensia, kiundani kuna tofauti kati ya ushushushu unaofanyika ndani ya nchi na ule unaofanyika nje ya nchi. nchi mbalimbali zina idara mbali mbali mfano
UINGEREZA NI M15 ushushu wa ndani na M16 ushushushu wa nje
kwa MAREKANI kuna FBI ushushushu wa ndani na CIA ni ushushushu wa nje. lakini pia kuna mashirika na taasisi kama NSA inayoshughulika kunasa mawasiliano na kwa uingereza ni GHQC.
Kibongo bongo nisingependa kuongelea sababu SIJUI na naiskia iskia ipo chini ya Ofisi ya Raisi na mkuu wa idara hyo ni XXX ambaye anajulikana kama "SPONSOR" na wakuu wa idara za kiusalama wa taifa hufahamika kama "SPYMASTERS" kama ilivyo title ya hii thread.
Mara nyingi maeneo ya kazi za idara hizi za usalama ni kukusanya na kuchambua idara za kiusalama , taarifa hizi huwa tunaziweka katika makundi muhimu manne
1.UJASUSI (ESPIONAGE)
2. UZANDIKI (SUBVERSION)
3.UHUJUMU (SABOTAGE)
4.UGAIDI ( TERRORISM)
So mambo ya msingi hapa kukusanya taarifa na kuchambua, pili, kuzuia matukio yanayofahamika ka, taarifa za ma yanatishia usalama wa nchi as a whole including taarifa za kijeshi, teknolojia za mawasiliano, usafiri wa anga , ulinzi, electronic na mambo ya fedha
Sifa kuu ya masuala ya ujasusi ni kwamba "HAKUNA URAFIKI", Ni muhimu kuhakikisha nchi ipo salama dhidi ya majirani waliotuzunguka na ndani. taarifa hupatikana kwa njia mbalimbali kama OPEN SOURCES hizi tunaziita OSOSINT na njia za mawasiliano COMMINT- HII inainclude hadi EARDROPPING , WIRETAPPING na kunasa mawimbi ya sauti yaani kimombo tunasema SIGNAL INTELLIGENCE "SIGINT", Nia za kielectronic kifupi tunaita ELINT.
Njia nyingine ni kunasa picha na taswira kwa kutumia ndege au drones yaani IMMAGINARY INTELLIGENCE (IMINT).kwenye upande wa fedha ni Financial Intelligence FINT Na kwa nchi maskini ni njia inayotegemewa zaidi ni Human intelligence yaani HUMINT.
UZANDIKI NI NINI?
Uzandiki ni upotoshaji wa habari wenye lengo maalumu , uzandiki huumika kama nyenzomuhimu kwa serikali zilipo madarakani .
uzandiki hufanywa kwa lengo la kuyumbisha utawala wa nchi adui yake , mfano kuconganisha serikali ya nchi na raia yake (marekani, cuba, venezuella n.k).
HUJUMA
hujuma ni kitendo cha makusudi cha kudhoofisha nguvu za adui ndani nanci kudhoofisanguvu za adui. hujuma huweza kuishia kwenye kudhoofisha eneo flani au hata kusababisha madhara kama vifo na majeruhi.
kuna wakati ni vigumu kutenganisha kati ya uhujuma na udhandiki kwa sababu maeneo haya yanaweza kuingilina mfano hujuma dhidi ya kiongozi wa kisiasa au chama kuwabambikizia tuhuma za ugaidi ili kuzuia ufanisi wake kwenye jambo fulani
Ndani ya nchi uzandiki hauwezi kufanyika kirahisi pasipo uhusika wa mashushushu, mfano serikali ya marekani inaweza kutumia radio na tv kuzusha habari kwa minajiri flani wakati wa uchaguzi..
MAFUNZO YA KUWA SHUSHUSHU.
Kozi ya awali imegawanyika katika makundo matatu
1. Mafunzo ya kijeshi na Ukakamavu
2. Mafunzo ya mapambano bila silaha ( unarmed combat)
3. Mafunzo ya ushushushu halisi
MAFUNZO YA KIJESHI NA UKAKAMAVU
Mafunzo haya hujumuisha kwata za jeshi, kabla ya luanza kozi hii azima ufanyiwe uchunguzi wa kiafya kwa sababu haya ni mafunzo ya kijeshi halishi- yanahusu drills za kijeshi , usomaji wa ramani, ulengaji wa shabaha na uelewa wa silaha mbalimbali.
Sambamba na mazoezi hayo ni mazoezi makali ya viungo na ukakamavu, mafunzo haya huambatana na kujenga nidhamu ya kijeshi na pamoja na uvumilivu na huendesha na wakufunzi wa kijeshi.
Pengine ni vema kuyagawa mafunzo haya ya kijeshi katika sehemu mbili
kwanza ni mazoezi ya uk aakamavu ambapo siku ya kwanza ya ukakamavu huanza na mchakamchaka wa umbali mrefu , halafu kifungua inywa cha hazi ya nyota tano kwa dakika chache tu.
PILI, Mazoezi ya ukakamavu yanayojumuisha PUSH UPS , hii sio adhabu bali ni mazoezi , Afande akijiskia atakuambia NIPE 20 , akimaanisha nfanya push ups 20 na hapo hakuna mjadala sababu kanuni za kijeshi zipo wazi , amri ya afande haijadiliwi.
Kuruka kichura chura wakati wa kwenda mchaka mchaka au mesini ni mazoezi ya kawaida, mazoezi haya ukiyafanya baada ya muda huzoeleka haraka na kuleta na kuleta ukakamavu.
je ungependa niendelee mpaka ...... type endelea