Razmax
Member
- Jul 27, 2022
- 11
- 3
Jioni ya leo tu nilikuwa natembea kwenye njia nyembamba ya kichaka, ghafla nikakosea nikakanyaga Mchwa ๐ mkubwa ... Mara nikaondoa mguu wangu, nikagundua nimemuua, lilikuwa kosa ingawa nikaendelea nilipokuwa nikienda.
Baada ya sekunde kadhaa akili yangu ikaanza kunisumbua, ningewezaje kumuua huyu mchwa asiye na hatia? Vipi kama ni mtoto pekee wa kiume mama yake aliyezaa? Vipi kama baba yake amefariki kitambo na ndilo tumaini pekee alilonalo mama yake?
Vipi kama ni mhitimu mpya anayekimbia nyumbani kumwambia mama yake maskini hatimaye amehitimu Chuo Kikuu cha Mchwa ๐ baada ya miaka yote hii ameteseka na kumpeleka shule? Sasa habari itakuwa mbaya... Alipondwa akiwa njiani kupeleka habari zake za kuhitimu na kusherehekea na mama yake maskini, ni wakati ๐ฅ gani mbaya utakua.
Nilianza kuhisi hatia, kabla sijajua... Machozi yalianza kutiririka shavuni mwangu, sasa nilikimbia kurudi palepale na kumkuta yule mchwa ๐ amelala amekufa , "amka! Amka mchwa!! Amka!" Nikasema, nikitetemeka, nikapuliza upepo juu yake nikiwa bado natetemeka, hapo tu nikagundua ni bado hakufa, oh wema wangu! Nikajikaza, nikapata afueni. Yuko hai, nlichuma jani ๐ na kumuweka sehemu salama karibu na kichaka na kuliweka juu, nina uhakika atapona hivi karibuni. "Fanya upoe hivi karibuni na urudi nyumbani, mchwa.. Mama yako anasubiri" Mimi "Nilisema na kuondoka, nikijisikia vizuri, nia yangu ni safi.
Muda si mrefu, mimi wazo lingine lilinijia akilini mwangu, vipi ikiwa mchwa huyu ni mwovu anayesumbua kijiji cha Mchwa? Vipi kama huyu ni mchwa aliyerudi kutoka Marekani aliezoea uhalifu kaja huku kuuwa Mchwa wengine?
Sasa kwa kuwa nimemuweka mahali salama ata pona na kuendelea na safari yake ya uovu na kuua Mchwa wasiyo na hatia? La..... Siwezi kuruhusu hili kutokea Waovu lazima waadhibiwe. Nikarudi na kumponda kabisa๐๐๐ฆถ
Hakuna nafasi ya uovu hapa๐๐คซ๐
SHERIA NA KANUNI KWA MKE WANGU WA BAADAYE
1. Mke wangu wa baadaye haruhusiwi kuwa na marafiki zaidi ya 3 wa kiume: Mimi, baba yake na kaka yake (kama ana kaka wawili ni bora achague anaempenda zaid)
2. Mke wangu wa baadaye haruhusiwi kufanya maombi kimya kimya. Nataka kujua kinachoendelea katika maombi yake
3. Mke wangu wa baadaye lazima awe bikira, cus napenda kuvunja milango ๐ฌ
4. Kama mke wangu wa baadaye anataka kutoa maoni juu ya post ya jamaa yeyote lazima kwanza tujadili juu yake.
5. Mke wangu wa baadaye haruhusiwi kufanya kazi.. Kwa sababu kuwa nami ni kazi ya wakati wote" ๐น
6. Mke wangu wa baadaye anaweza tu Kuvaa kimini nyumbani, lakini Juba wakati anatoka nje ๐
7. Mke wangu wa baadaye haruhusiwi kuficha simu yake kutoka kwangu. Kwa mda tuko pamoja sio iPhone ni "wePhone". ๐ฌ
8. Mke wangu wa baadaye haruhusiwi kulala isipokuwa niwepo namuangalia.
Akicheka usingizini naingia kwenye ndoto zake kuona kinachochekesha sana au kama kavutiwa na yoyote umo... ๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐

Attachments
Upvote
1