Stori ya maisha yangu: Alinibebesha ujauzito, Mama yangu akamkataa akafungwa miaka 30 kisa dini

Sasa nyie mabinti wa namna hii mapunguani na hamjitambui! Kuna mambo ya msingi inabidi muwasikilize wazazi! Wewe wa dini fulani unaenda kuolewa na dini nyingine! Hivi unamjua mungu wa hiyo dini?
ona mpumbavu mwingine madin ya kuletewa haya nayo ya kututawanya kweli?stupid
 
...baada ya kutoka jela, hakuishi muda mrefu, alitoka akiwa amechoka na maisha na miezi 3 tu alifariki dunia....
 
Daah umenisisimua sana ...yaani hata Mimi niliponea chupuchupu kuoga mvua ya 30 years..kesi za kusingiziwa ni real
 
Mfano hii sheria ya kufunga mtu 30 years ikiwa kakubali mimba yake na yuko tayari kulea mtoto kwanini isibadilike. Maana naona mtoto akikosa haki ya malezi ya wazazi.
 
hatari,ila huyo mama yako soon ataanza kula kinyesi chake
 
sijasoma ila nachojua do not force invest too much where you are not valued do let mapenzi yaushike kichwa....sobaada ya kusema haya narudi nikasome af sasa nitoe comment za kumlaumu huyo mama na ushenzi wake au ubaya wake kwa kijana.....kijana dont let your guard down kuoa sio vita kuoa ni baraka so usilazimishe ukiona mapicha picha KIMBIA FASTA TOKA NDUKI
 
Duh!
 
USIRUHUSU DINI IKUTOE AKILI KICHWANI ZA UBINADAMU.....MWISHO WA SIKU MTOT AMEKUA AMEONA KABISA MMEMUUA BABA YAKE ...WANAWAKE WANAWAKE HAWAFAI KUOMGOA HATA FAMILIA MAANA HII ILIONGOZWA NA MWANAMKE
 
Mfano hii sheria ya kufunga mtu 30 years ikiwa kakubali mimba yake na yuko tayari kulea mtoto kwanini isibadilike. Maana naona mtoto akikosa haki ya malezi ya wazazi.
Hao watu wazima alisingiziwa, sio kwamba kukubali kulimfunga ila yule mama akaamua atumei hiyo kutengeneza kesi nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…