Stori yangu jinsi nilivyopambania kombe hadi kupata ajira serikalini

Stori yangu jinsi nilivyopambania kombe hadi kupata ajira serikalini

Kichochoro

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2017
Posts
1,135
Reaction score
1,167
[emoji120][emoji120][emoji120]kwa nianze kwa kumshkru mungu mwingi wa rehema kwa kuweza kunipa pumzi bure na hatimaye Leo nimeamua kuandika stori yangu nzito na yenye maajabu .

Stori sehem ya kwanza:
Kwanza nianze kwa kutokutaja jina langu halis kwa sababu zangu binafs. Mimi Ni moja ya watoto niliozaliwa kwenye familia ya watoto watatu nikiwa ndye mwanaume pekee, kwa mujibu wa tamaduni zetu mtoto wakiume ndyo mtoto anayetegemewa kwenye familia hata kwenye maamuzi.

Nilizaliwa mwaka 1994 huko mkoan tabora wakati baba akiishi dar na mama akiishi tabora sijui kwann waliamua kuishi hvyo Maana mama siyo mfanyakazi lakin mzee alikuwa Ni mfanyakazi wa serikali Tena kwenye wizara yeti.

Mwaka 2002 nilianza darsa la kwanza huko mkoan shinyanga wakati huo nilichukuliwa na Bibi kizaa mama kwa sababu kipindi hicho mama wakati akiishi tabora alipata Tatzo la kiafya Hadi kupelekea kurud nyumbn kwa Bibi na babu Kwan hata dada zangu nao walikuwa bado watoto wadogo ukizingatia BABA yangu alikuwa na MKE wingne huko dar es salaam hvyo mama yangu alikuwa Kama amemtelekeza!

Tatizo la kiafya kwa mama yangu lilichukua yapata miezi kadhaa Zaid ya 8 kwani aliugua miguu nakupelekea kutokuweza kutembea kwa kipindi chote katika miezi 8 yaan alikuwa mtu wakubebwa kuweza kupata huduma za kibinadam mungu si athuman Kuna siku ilikuwa mwezi wa 10 nikiwa pale kwa Bibi yangu alikuja mzee mmoja ambaye kwa kumuangalia Ni Kama mlemavu hvi yaan Ana mikono lakin mikono yake haiko sawa yaan kwenye mkono mmoja Ana vidole viwili na mwingne kidole kimoja[emoji24][emoji24][emoji24]

Muda huo Mimi nilikuwa nimetoka shuleni alipomuona mama yangu jinsi anavyolia huku akiniita jina langu flan 'Mwanangu nakuacha ingali bado mdgo mm kupona sitopona nitakufa mtoto wangu Ila hata nikifa mpendane wewe na dada zangu, wakati mama yangu anatamka maneno hayo yule mzee alimwambia usiwe na waswas ungonjwa wako wewe utapona Ila nakutibu bure ukishapona naomba unipe garama zangu nitaenda nyumbn kwangu nitaangiza vijana watakuletea dawa na miguu yako ipatona!

Na kweli baada ya hapo hyo mzee aliondoka Hadi kwake huko vijijin maana yeye Ni mtu wakubebwa tu hajiwezi anabebwa na mtu kwenye baiskeli akakaa kama siku mbili ya tatu alikuja asbhi Sana nakumbka ilikuwa jumamos alipofika pale nyumbn kwa babu yangu aliwaomba atumie dawa zake za kienyeji kwani kwenye hyo familia ya babu yangu walikuwa familia inayoamini Sana DINI babu yangu alikubali Ila kwa masharti nimatufuku kupiga ramli eneo lile nyumbn yule mzee akakubali alitoa dawa Zakienyeji nakumpatia mama yangu nakumbka dawa zile zilikuwa Aina tatu nyeusi,kwa ajili yakukanyanga,nyeupe za kunywa,na zingene nyekundu ambzo alimchanja kwenye Ile miguu.

Mama alitumia zile dawa Hadi mwezi wa kumi na 11 Hali yake ikaanza kubadilika yaan unafuu ikaanza kupatikana kumbaka kipindi hicho kule kijijin hapakuwa na simu pale nyumbn kwa babu kulikuwa na simu ya mjomba tu nayo kuishika ilikuwa Ni inshu pamoja na kwamba mama alikuwa na namba za baba yangu lakin hakumwambia.
 
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]sory kwa kuchapiachapia naamin ujumbe utafika
 
Hata sijamaliza kusoma nineishia kati, hii ni chai tu, stori inaelezea mganga unataka kutafuta wateja humu ndani au 😂😂😂 chai
 
Nimeishia aliposema xaxa badala ya sasa nikajua huyu ni mtoto nimemaliza
 
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]wakuu naomba nisifikiriwe vibaya kwa lolote jukwaa lengo nikufundishana stak pm shida elezea hapa jukwaani.
Mwisho nafaham chapiachapia zipo zakutosha Napo tusameheane[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]wakuu naomba nisifikiriwe vibaya kwa lolote jukwaa lengo nikufundishana stak pm shida elezea hapa jukwaani.
Mwisho nafaham chapiachapia zipo zakutosha Napo tusameheane[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
mjinga wewe watu walikuwa wameishakusoma siku nyingi...unatuletea matangazo ya uganga.
 
Unauliza nani kakuroga ilhali umejiroga mwenyewe,
 
Back
Top Bottom