Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 941
- 2,062
Wakuu,
Mtu umechoka, unaingia jukwaa la MMU ili angalau upate auheni na kujifariji baada ya uchovu wa siku, lahaulaa!!! Unakuta story yenye tittle nzuri kabisa kumbe ni chaiii.....daah inakera big time yaani...achenii
Wengi tuliopo kwenye jukwaa hili tuna malengo tofauti Kama; kujifunza, kuelimika, kuburudika, kuhuzunika, kutoa ushari n.k ...Rai yangu tujifunze kuandika uhalisia ili iwe rahisi mtu kupata kitu na sio kuandika utoto usio na manufaa yoyote