wazanaki
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 1,092
- 808
Aina za ugomvi kwa Afrika
1. Kuna ugomvi mkali sana kati ya nchi kubwa (super power) ex. China vs Europe kuigombania Africa
2. Kuna ugomvi mkubwa wa ndani ya nchi kati ya puppets wa mabeberu na wazalendo
3. Kuna ugomvi mkubwa sana kati ya wanaofaidika na uongozi na ambao hawafaidiki na uongozi uliopo (hapa haiusiani na wazalendo vs puppets).
Haya maugomvi usipokua makini, unaweza ukachanganya who is who. Ni kama vita ya nyani, swala, na simba kwa wakati mmoja.
Kwa wale wazalendo akiwemo raisi wetu, inatakiwa tuwe makini na hawa soldiers tofauti tofauti.