Pia kuna ugomvi kati ya wazalendo kwa wazalendo. Hii inatokana mzalendo mmoja kujiona anaweza kukomboa watanzania kuliko mwenzake. Mwisho wa siku situation inakua likeAina za ugomvi kwa Afrika
1. Kuna ugomvi mkali sana kati ya nchi kubwa (super power) ex. China vs Europe kuigombania Africa
2. Kuna ugomvi mkubwa wa ndani ya nchi kati ya puppets wa mabeberu na wazalendo
3. Kuna ugomvi mkubwa sana kati ya wanaofaidika na uongozi na ambao hawafaidiki na uongozi uliopo (hapa haiusiani na wazalendo vs puppets).
Haya maugomvi usipokua makini, unaweza ukachanganya who is who. Ni kama vita ya nyani, swala, na simba kwa wakati mmoja.
Kwa wale wazalendo akiwemo raisi wetu, inatakiwa tuwe makini na hawa soldiers tofauti tofauti.
SwadaktaMiaka 50 mbele Africa itakua na nafasi ya kipekee katika maendeleo ya dunia.
Japo tutakuwa tumechelewa lakini sio Sana kwa sababu hao walio washindani wetu kwa Sasa watakua wameishiwa nguvu.
Kwa hivyo haya yooote yanayotokea Africa Ni kwa sababu ya hio nafasi tutakayo kua nayo.
Siku zote mwanafunzi anakuwa mwanafunzi tu, lakini wakati fulani nae huwa Ni Mwalimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka 50 mbele Africa itakua na nafasi ya kipekee katika maendeleo ya dunia.