SoC04 Stories of Change 2024

SoC04 Stories of Change 2024

Tanzania Tuitakayo competition threads

Palyenda Lyende

New Member
Joined
Jun 20, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Tanzania pamekuwa na ubadhilifu wa mali za Umma Kila siku lakini hakuna uwajibishwaji wa wale wanaohusika hadi inapelekea kuwa KAWAIDA na wengine hutamani kuiba!
Hii ni Kwa sababu
1. Hakuna usimamizi nzuri wa sheria
2. Muhimili kama BUNGE hawatungi Sheria Kali ikiwa mtu atabainika kuiba fedha za Umma

Ili kufika kwenye nchi tunayoitaka mambo yafuatayo yafanyike:-
a. Bunge litunge Sheria kali za usimamizi wa maliasili na fedha za Umma.
b. Tupunguze nadharia, mfano Tume za uchunguzi ambazo ndio chanzo kimojawapo cha kuendelea ubadhilifu na vitendo vingine visivyofaa mfano RUSHWA.
c. Pawepo na uwajibishwaji wa moja Kwa moja hii itaongeza umakini na utendaji kazi.
 
Upvote 2
Back
Top Bottom