Stories za nightclub!

Stories za nightclub!

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Tupeane story unayoipenda ama kukuudhi ilikufika ukiwa club au disco au ktk concert sinema kiwanja chochote cha burudani
 
Ilikuaje nor

sio mara moja au mbili au tatu, nawaona katika sehemu tofauti tofauti, niliwahi jichanganya once pale zamani bills, lakini kwa sasa si mpenzi wa kwenda club tena, mambo yanabana...ilikuwaje? niliingia kwenye kumi na nane za mcharuko KAISHKA, jinni fundi...anyway ngoja niendelee kusoma ya wenzangu...sipendi kuizungumzia hii..
 
aisee umekata utamu
 
Pacha ako Sepenga anakupa hi![emoji116][emoji4]
 
Attachments

  • Friday+NighT+Live+-+EATV++kwa+hewaa.jpg
    Friday+NighT+Live+-+EATV++kwa+hewaa.jpg
    72.4 KB · Views: 62
sio mara moja au mbili au tatu, nawaona katika sehemu tofauti tofauti, niliwahi jichanganya once pale zamani bills, lakini kwa sasa si mpenzi wa kwenda club tena, mambo yanabana...ilikuwaje? niliingia kwenye kumi na nane za mcharuko KAISHKA, jinni fundi...anyway ngoja niendelee kusoma ya wenzangu...sipendi kuizungumzia hii..
Tililika mkuu
 
Enzi za DJ Kalikali, tulikwenda Mbowe Hotels na shost, kumbe alikuwa na date na DJ, mida ya kuondoka ninamtafuta simuoni, kuna aliyenishtua wewe nenda kabla hakuja kucha hapa.
DJs weka mbali na wanawake
 
Back
Top Bottom