Stories za vifo

Ushirombo

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
3,558
Reaction score
2,702
Unajua hakuna stories za kusisimua na kuogopesha kama watu waliokufa wakiweza kuamka na kukusimulia the way walivyokufa kuna waliokufa Maji,waliokufa porini na wanyama wakali,waliouwawa na majambazi,waliouwawa mateka like saanane,
Nipo nawaza how their death meet them dah hatari sana hizo stories

Hizi tunazopewa sijui jamaa alizamia akataka kwenda south Africa kwa Meli akakamatwa akateswa,zingine mara alipotea mbuga za wanyama,yaani kama alipona , sioni cha kuogopesha,ila aliekufa ndo anastories za kuogopesha sana.
*uongo?*

Mshanajr,mzizi mkavu na London baby semeni
 
Kwa hiyo wewe uliwahi kusimuliwa stori za kufa na Mtu aliyekufa???.
 
Kwa hiyo wewe uliwahi kusimuliwa stori za kufa na Mtu aliyekufa???.
Hujaelewa,Ok fikiria mateso ya Dr shika, ambae aliweza Ku escape na leo anatoa stories,sasa wapi walioenda beyond Dr shika kwa mateso hadi wakafa,hawakua na uwezo wa Ku escape yaani hao walipata mateso zaidi.
 
Weekend kama hizi si za kuparamia thread na kuanza kuchangia waweza kuta people zipo Viroba kichwani ukawa unapoteza energy tu..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…