Story: Bora Mchaga Mwizi Kuliko Mpare Bahili....

Calm down Mkuu utapigwa ban kama rafik yako baba swalehe mkale maisha centro !!
 
Mkuu hata kama ndo unataka kijipendekeza Kwa Mane Peni ili utongoze kama kawaida yako naona kama unavuka mstari mkuu.

Kuanza kujibizana na wanawake siyo kabisa, hata huyu unayetaka kumtongoza anakudharau. Just keep calm
Wewe ACHA zako unanijua unanisikia ??? Nijipendekeze kwa MTU ??? Toka lini??? Na niwe nimepungukiwa nini????

Sipendi tu UNAFIKI nakwasababu sipendi UNAFIKI basi fahamu namchukia MTU yoyote MNAFIKI na either unifanyie Mimi au umfanyie mwingine ,ili mradi nikishajua wewe ni MNAFIKI lazima nikubie uache UNAFIKI.

Huwezi kumchekea MTU awapo usoni mwako alafu akiondoka umseme vingine alafu akiwepo umchekee tena .... Ukiamua kua Mfuasi wake kua mfuasi wake ...ukiamua kuutokua mfuasi wake kweli usiwe.

Hatuwezi kua na Lundo lamarafiki wanafiki waaina iyo ,marafiki kama nyinyi niwale mnaochukizwa na maendeleo yamtu.

MTU km anakukwaza sawa umemsemaaaa kakusikiaaa Achana naye ,Sasa unamsemaaaaaaaa alafu hapo hapo unaleta Pua ya unafiki *Oohhh napenda post zako* ..hii nn maana yake?????[emoji57] [emoji57] Badilikeni bana ,fanyeni mabadiliko ambayo ndani yake nyinyi wenyewe nisehem YAO.

Sijazungumza sijui ili nimtongoze ,, nayeye hapa namwambia ,SIJAZUNGUMZA HAYA ILI MIKUTONGOZE NINA MWANAMKE WANGU YUPO HUMU ANAITWA Mima white cute NA YEYE PENNY ANAMWANAMME WAKE .

Kikubwa nimesema ili tabia zenu MZIACHE MARA MOJA.
 
Hahahaaaa aiseeee Central sikupendi Mkuu...alafu daaah umenikumbusha Rafiki yangu ..huyu jamaa Ilikuake akapigwa ban ???.
Alimwta mod pimbi !! Hafu akawa anadai trophy point alijua ni hela alimiss balimi ... Etiii anawaambia mods " naomben trophy point zangu maana nmeambwa ni hela " akachongaa wee mwisho wakamchoma ..[emoji40] [emoji23] [emoji23]
 
Alimwta mod pimbi !! Hafu akawa anadai trophy point alijua ni hela alimiss balimi ... Etiii anawaambia mods " naomben trophy point zangu maana nmeambwa ni hela " akachongaa wee mwisho wakamchoma ..[emoji40] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usiniambie km trophy point nihela ..huu mwezi mbaya mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…