scientist_tz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 605
- 899
Nlkua nadaiwa ada ya swalehe !! Ndo nkawa nawadai trophy point sijui swalehe alinidanganya alinambia trophy ni hela etii unatuma namba yko ya m pesa kwa mods then wanakurushia !!!... Daah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usiniambie km trophy point nihela ..huu mwezi mbaya mkuu
Tesla !! Hakuwah kuwa na demuNmekujua kwasababu ya ID .siulisema unataka kua mwanasayansi mmoja ivi mahili alafu kwa avatar ,nmwmkumbuka sijui mnuita nani vile.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wacha namm nije nizfatilie usikute ni Binti-coinNi hela Mkuu sijui ndo zile wanaita binti coin sijui bitcoin !!!!
Hahaahaha swalehe alikuuza mkuuNlkua nadaiwa ada ya swalehe !! Ndo nkawa nawadai trophy point sijui swalehe alinidanganya alinambia trophy ni hela etii unatuma namba yko ya m pesa kwa mods then wanakurushia !!!... Daah
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] ilo makuachia wewe mwenyewe Tesla .Tesla !! Hakuwah kuwa na demu
Hahhaahha[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] ilo makuachia wewe mwenyewe Tesla .
Umenikumbusha ,day moja natafuta sehem ya kukaa hapa kino ..niliingia kwa Sheikh mmoja ananiambiaje "" chumba na sebule yake vipo,, ila sitaki nione unakuja na mwanamke"
Nakam unaweza hilo sharti ,nikupunguzie kodi !!! Nilimuaga tu nikaamsha zangu !!.
Acha kabisa Mkuu..waubavu niwaubavu tu.Hahhaahha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bila kumsahau na espyKaribu dear Shunie na Don Clericuzio niliwasahau hawa wanapenda sana story zako uwe unawapa link hata pm
Money Penny ni nani lakini woyoooooooo
Hahahahaha alikuja pia kwenye uzi wa band akafanya yake tayariiiii
Ahhahahahahahahaha uzuri wa money penny hajaliiii we unasema hiki unawekewa link tu Woyooooo money penny ni naniiiiiiiiiiiiiACHANA NAO
uje na huku
SWALI: KIPI UNGEBADILI KWA MPENZI WAKO?...
Deadboy pia,awatumie pm kabisaa kuna mziguaHuyo delicious achana nae!!!
Hivi yule kwenye ule Uzi ni nani vile nmesahau id yake nlitaka kumtag pia nimuombee link ha ha ha money Penny is back
Habari zenuWeee mzenguaji mkuuu !!! Toka uninyang'anye Kapeace ,siku izi umekua kimya !!.
Mkuu niko chimbo mkuu, mkuu lakini si una makoloni yako mkuu?
Najua una ujumbe wangu, muda ukifika ntakutafuta.
ππππHahahahaha alikuja pia kwenye uzi wa band akafanya yake tayariiiii
Ha ha ha lazma alitumiwa link za kukaliaUshatumiwa pm ya link?
Tulifungua mpya tenaaaππππ
Uzi wa band si ulifutwa?
HahahaahahaHa ha ha lazma alitumiwa link za kukalia