Story: Bora Mchaga Mwizi Kuliko Mpare Bahili....

Huu uandishi wako una shout sana mama.... rekebisha mwandiko na font size.. wengine tupo traditional sana ukishaweka font size kubwa halafu ume bold unanitoa knock out kabisa siwez kusoma... ushauri tu
Oooh kumbe

Haya weee sijaitwa nasepa.. nikiingia kuona kama kuna madiliko as anapenda kutag watu.. kama ndio hivyo basi hata mvuto wa kufungua umeishia sasa hivi.

Jibu hilo hapo.
 
Mimi nakukatalia hapo kwenye kusema kwamba wakibosho walichoma nyumba za Wamachame. Ipo hivi , Wakibosho walikuwa wajanja na majasiri sana kuliko wachaga wengine ndio maana hata wakoloni walipata shida kuwatawala mpaka wakapitia kwa Wamachame. Historia inasema kwamba Wakibosho walikuwaga na kiburi na wamachame sasa ikawa hivi, kwakuwa wamachame walikuwa wanakuja kutahiriwa kwa Wakibosho na sherehe zingine pia walikuwa wanashirikiana pia. Sasa kwakuwa Wamachame walikuwa wanamchukia sana Mangi wa Wakibosho coz alikuwa more agressive Wakibosho wakatumia trick yakiwadanganya kuwa Mangi kafa. Waliposikia hivyo basi wakaja kushehrekea kifo cha Mangi , basi pale wakibosho wakawazingira na kuwauwa wotee , unaambiwa damu ilitapakaa mtoni kama maji . Mpaka leo hii kwenye huo mto walipouwawa kunakumbukumbu yao, na kunajina wanapaita na pia kunahandaki ambalo lo walikuwa wanaingizwa ili kuuawa then wanatupwa mtoni. Unaambiwa baada ya hapo wamachame kusikia kilichotokea walilia mpaka basi! Wakalaani tuu coz kuwapiga wakibosho hawakuweza maana wakibosho walikuwa mahodari sana katika vita.
 
stori yako umeitwist bro!

unaudanganya ulimwengu kaulize vizuri kwa babu zako au bibiz au shangazi

ndio maana mpaka leo mmachame haolewi wala kuoa kwa wakibosho

mlitubetray mkatuchoma moto pale tulipokutana tusuluhishe ugomviii, mkateka advantage kwa kutuuua!

kaulize vizuri utaambiwaa!


ukimaliza
uje na huku

1. STORY: KUTEGA - SEDUCTION

2. Story: Bora Mchaga Mwizi Kuliko Mpare Bahili....

3. Story: Fumanizi la ukubwani

4. Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke

5. SWALI: JE NI KWELI SIZE YA SEHEMU ZA SIRI INAPIMWA MDOMONI?
 
No mimi sijafanya kitendo hicho ninachokiongea kipo pale kwa Mangi sina kwenye makumbusho , kama unataka kupata uhakika fika pale ukajionee. Na pia utaoneshwa mpaka handaki waliloingizwa hao Wamachame.
 
Shithole!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…