Hii story nikipataga muda narudiaga tena kusoma. Ni hatari.The best of the best.
Hamida ni nai?? January 2020 ilitrend video ya mtu akigalagala kwenye tope akimlilia mpenzi wake aitwae Hamida. Msimuliaji wa hii stori akatumia jina hilo la hamida kama main character wa story yake.
Hiyo ya kigakoyo kadri episode zilivyoendelea ilitoka kwenye true story na kua story.
UHUSIANO WANGU KIMAPENZI NA HAMIDA
Utangulizi.
'Mama watoto' aliridhia mimi kuandika simulizi hii kwa masharti.
Moja ya masharti nijitahidi kutoacha mlango / milango wazi itakayoruhusu watu kuunganisha dots...
Masharti mengine kwa kuwa ni sehemu ya codes, sintoyaeleza.
Hivyo katika simulizi hii nitaongeza 'chumvi' ama 'kuongeza maji' ili kuleta ladha kusudiwa.
Hamida ni mke wangu ambaye "hajaniacha"
=
=
=
Angalizo:
Picha ni kwa hisani ya "google"
Hazina uhusiano na simulizi hii.
Pia kuna sehemu inaweza kuamsha hisia za mapenzi,
Simulizi hii haina uhusiano na Hamida aliye-trend...
Daah ila we jamaa, we jamaa wa wapi vile ?1. Kula tunda kimasihara - rikiboy
2. Mliowahi kuchapiwa tukutane hapa, yule jamaa hatokaa asahau
naunga mkono nzuri sana hii storyUhusiano wangu wa kimapenzi na "Hamida" by JBourne59 . Ile story ni hatari Sana. Uandishi Bora Sana, niliowahi kusoma hapa JF
Mkuu nimetafuta nimekosa, naomba kani tagmama hellen ; kiapo cha ndoa kama hujaisoma hiyo wewe bado sana humu
Bao tatu za mgeniMimi napenda sana kusoma love stories, na kwa hapa JamiiForums nimewahi kusoma stories kadhaa za mapenzi. Lakini kuna story tatu ambazo kwangu mimi nimeziona ni best kabisa.
Hizi ndio top 3 zangu:
1. Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na mwanamke wa ajabu β INSIDER MAN
2. How I Met My Wife β KigaKoyo
3. Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu, Durban South Africa, yalivyotaka kunitoa roho β Konda Msafi
Kwangu mimi hizi ndio best love stories nilizowahi kuzisoma hapa JF. Kuna namna waandishi walivyoweza kusimulia mpaka unajikuta unaendelea kusoma bila kutaka kuacha. πβ€οΈ
Kama kuna nyingine ambazo mnaona ni kali kama hizi au hata kuzizidi, naomba mtaziongeza hapa ili tuzipitie.