Sasa inabidi siku tukutane live bhana mrembo Money MoneyPoa karibu Mpenzi
Sawa MkuuUsisahau kunitag mkuu
Sawa Boss hamna nenoSasa inabidi siku tukutane live bhana mrembo Money Money
Nisichopendea hizi stori zinakuwaga kama sirizi za kiAsia amaKizungu
Jamaan pole sana na karibu tenaNisichopendea hizi stori zinakuwaga kama sirizi za kiAsia amaKizungu
Yaani ukishaanza kuzisoma hutamani iishe
Unataka kila wakati episode mpya ziwekwe
Alafu mwisho wake huwa tofauti na vile unavyotaka uwe....zinakuumiza moyo (japo ni zakufikirika)
Thank you Sweetness..... 😂😘
Niokote nini...Uokote usikuaibishe
Haya Boss karibu sanaHa ha ha ha.. Very intriguing story.. Unistue itakapoendelea part inayofuatia😀😀
Karibu DarlingThank you Sweetness..... 😂😘
Karibu FatherNaona Mmenitag Ndiko siko!
AhaahahahahDuuuh hii story kweli balaaa,
Asante sana!Karibu Father
mwisho wa siku haya haya ndio maisha ya Duniani
Usikose kesho
PoaAhaahahahah
Karibu tena kesho
waalike na wengine