Habari zenu wakuu
Tunaanza weekend sio mbaya nikija story nyepesi nyepesi mimi ninatokea kanda maalumu kwa asili ila nimezaliwa DSM na niko hapa maisha yangu yote sasa tokea tuko wadogo tulikuwa tunaenda likizo baba alikuwa anatupeleka hiyo tabia ninayo mpaka leo nikiwaga likizo naendaga kwetu ni Tarime karibu na mgodi kule.
Experience ninayo wapa jina langu la sir name ni la kikurya kila sehemu nayoingia wanasema wewe sio mkurya coz am kinda muongeaji sana sina accent ya kule uwa najiuliza kwa nini mtu akijitambulisha ni mkurya watu wanaanza kuogopa hata few chicks ambao nimewadate wanasema wewe ni mkurya wa jina tu
Kwa nini watu wana mtizamo hasi na kabila letu uwa sipendi kwa kweli
stay home stay safe.