Edgar Kyando 34
New Member
- Jun 3, 2024
- 4
- 1
Serikali ni muhimili mkuu unao jitegemea katika katika nchi ambao upo kwa ajili kuongoza ,kutawala na kusaidia watu wake . Serikali inahusika katika kufanya kazi zifuatazo , Kukusanya mapato , kujenga miundombinu ( Barabara , shule , Hospitali , kutetea watu wake na Mali zao .
Yafuatayo ni mambo ambayo kama serikali ya Tanzania ita zingatia
ita weza kusaidia kuijenga Tanzania Bora miaka mitano ijayo.
Matumizi ya Tekinolojia katika kuongoza mashirika ya kiserikali , Serikali ina takiwa kuhakikisha Kila tahasisi ya kiserikali ina tumia Mifumo ya kitekinolojia katika kuhifadhi kuhifadhi kumbukumbu ambapo ita weza kusaidia kutambua nini chanzo haswa cha mashirika yaliyo mengi ya kiserikali kuingiza hasara kwa miaka mfululizo , mfano Ripoti ya CAG ya mwaka 2019 ina oneasha taasisi kama NHC ,Chuo cha kumbukumbu ya mwl Nyerere vilikua na mifumo iliyo shindwa kufanya baadhi ya shughuli za ki uhasibu .hivyo kwa kutatua changamoto za kitehama katika mashirika tutaweza kuiona Tanzania iliyo Bora miaka ijayo.
Ubinafsishaji wa mashirika Mashirika ya Uma yaliyo na mfululizo wa kupata hasara kwa sekta binafsi, serikali ya Tanzania ina takiwa kufanya tathimini kwa baadhi ya Taasisi ambazo Kuna uwezekano wa kukabidhi kwa sekta binafsi kisha serikali ikusanye mapato tu , Mfano mashirika kama shirika la Ndege ya Tanzania (ATCL ), mwaka 2019 lili ingiza hasara ya sh milioni 894 na kwa ripoti ya CAG 2022/2023 ATCL ili sababisha hasara ya bilioni 56.64 . Hivto basi nchi nyingi Duniani zilizo endelea hazifanyi biashara ya Ndege bali huachia sekta binafsi katika kuongoza mashirika ayo na kuweka baadhi ya masharti kwa sekta binafsi kwa ajiri ya usalama zaidi .ikiwa Taifa Lina hitaji malengo chanya kuanzia sasa na miaka ijayo , ina takiwa ibinafsisishe Taasisi ambazo zina ingiza hasara na zinaweza achiwa Kwa Kwa sekta binafsi.
Kuondoa Tozo kandamizi , na kupunguza matumizi ya Mali za umma , serikali ya Tanzania katika bunge lake tukufu la mwaka 2024 bajeti ikisomwa ina onesha serikali ina mpango wa kuongeza tozo katika Mitando ya simu , Katika viwanda . Hii ita athiri Moja Kwa Moja watumiaji wa bidhaa hizo hivyo basi maisha ya wa Tanzania yatakua magumu na uwenda ikasababisha maandamano kama nchi jirani (Kenya) . Pia Bajeti ya Serikali ya Tanzania iliyo somwa na Mhe Waziri wa Fedha ina bainisha Kuna kiasi kikubwa cha pesa kina tengwa kwa ajiri ya kunua Magali ya kuendesha shughuri za kiserikali.
Serikali iangalie namna Bora ya kutumia rasilimali za Taifa badala yake ikamilishe kipaumbele kikubwa kiwe kwenye kujenga shule n.k
Tanzania kuacha kutumia Mikopo ya Mataifa ya Magharibi kama chanzo cha uchumi badala yake itumie vizuri rasilimali zake kujiendesha , Mwaka 2021 Deni la Taifa lilikua ni Tirioni 64.76 ,mwaka 2023 ni tirioni 79.1 na mwaka 2024 Deni la Taifa ni Tirioni 91 .7 , Hivyo basi kadiri ya miaka inavtizidi kusogea deni linazidi kukua wakati taifa la Tanzania limebarikiwa kuwa na rasilimali nyingi ikiwemo madini , Gesi . Kuwa na limbikizo la deni hupelekea mataifa masikini kutakiwa kutimiza kila matakwa yanayo tolewa na , Mataifa ya magharibi ( United nations ) ambapo itapelekea nchi kutakiwa kuizinisha Sheria za mapenzi ya jinsia moja , pia madeni yanafanya Taifa kuendelea kuwa nchi tegemezi hivyo basi Kama taifa Lina hitaji maendeleo ndani ya miaka mitano ijayo ni Lazima Taifa li jitegemee na kuachana na madeni .
Serikali kuwa na Sera Moja kuelekea maendeleo ya kiuchumi , Taifa la Tanzania limekua na sera tofauti tofauti katika kila muhula wa kila kiongozi hivyo kila kiongozi ana ingia madarakani na sera yake ambapo inaleta changamoto katika kuifikisha Tanzania inapo takiwa , mfano Mhe kikwete sera yake ilikua Kilimo kwanza , Dkt magufuli sera yake ni Tanzania ya viwanda , hivyo basi Taifa Lina takiwa na sera Moja ambayo Kila kiongozi anae ingia madarakani ata takiwa kutimiza hivyo ita saidia Taifa kuwa na maendeleo chanya kwa miaka ijayo.
" Viongozi WA ache kuhubiri maendeleo baili wafanye maendeleo kwa vitendo Kwa sera Moja "
Watu wahusishwe katika mapambano dhidi ya Rushwa , ikitokea Kiongozi wa Serikali akihusika na Rushwa awekwe hadharani , suala la Rushwa limekua liki kumba mataifa masikini hivyo basi Viongozi ambao Wana husika na Rushwa wawekwe hadharani kama wahujumu wa Taifa hili , kuwekwa hadharani kwa wahusika warushwa it's pelekea msukumo mkubwa wa viongozi kupokea Rushwa , pia ziwekwe namba za simu ambazo zipo hewani kwa ajili ya kupambana na Rushwa ,hii ita saidia taifa la Tanzania kufikia Matarajio ya kuwa nchi yenye maendeleo siku zijazo.
Matumizi ya Gesi asilia , Gesi ni nishati ambayo ni rafiki kwa mazingira sababu hakuna machafuzi yoyote yanayo tokana na gesi iyo .gesi hiyo inapatikana kwa eingi mkoa wa Lindi lakini inatumiwa kwa winging mikoa ya kasikazini ikiwemo Dar es salaam ,hivyo basi Serikali inatakiwa kuchukua hatua madhubuti kutoa Elimu juu ya matumizi ya Gesi katika mikoa hiyo ilo wa achane na matumizi ya nishati kama mkaa ambao una atahari kubwa katika mazingirq ikiwemo kuharibu ikolojia ya wanyama na mimea .
" Kila Mwananchi kutumia Gesi Inawezekana Tuamke kwa Pamoja "
Kukamilisha miradi iliyo anzishwa kabla ya kuanzisha miradi mingine (ujenzi wa barabara) , serikali ina takiwa kuhakikisha ina kamilisha miradi kwa wakati kabla ya ku endeleza mradi mwingine kwani ina kwamisha kuendelea kwa shughuli za ki uchumi mfano ujenziwa Barbara umekua wa kusua sua hivyo inapelekea kudorola kwa usambazaji wa huduma kwa jamii.
Mapinduzi ya Tekinolojia katika Elimu ; Napenda kuishauri serikali ya Tanzania kupunguza masomo ya jamii na kuongeza masomo ya tekinolojia kwani Dunia ya Sasa Ina uhitaji mkubwa wa watu ambao Wana uta alamu wa mifumo hivyo basi tutaweza kuifikisha Tanzania mahali panapo hitajika baada ya Mika mitano .
Kupitia matumizi ya compyuta kuanzia ngazi ya shule ya msingi ita saidia kutengeneza kizazi ambacho kina weza kuendana na mfumo wa maendeleo wa Dunia.
Kuondoshwa kwa Shule za Jinsia Moja , Uwepo wa shule za jinsia Moja Ina chochea mmomonyoko wa maadilo kwa vijana , kutokana na maendeleo ya Dunia watoto Wana wahi kupevuka hivyo hupelekea kuenea kwa vitendo au uwepo mahusiano ya jinsia moja mashuleni kisiri siri , ingawa Taifa la Tanzania linapigana vikali na Ndoa au mapenzi ya jinsia lakini hatuwezi tukapambana ikiwa hatuja pambana na mzizi mkuu , Kila mwanafunzi alie fanikiwa kusoma shule za jinsia Moja ana elewa namna matukio ya mapenzi ya jinsia moja yalivyo mashuleni hivyo basi ningependekeza seriakali kuchukua hatua madhubuti juu ya kesho ya Taifa Hili. Kuondolewa kwa shule za jinsia Moja ita fanya Tanzania kuwa na vijana wenye Maadili ya kitanzania pia usawa wa kijinsia ( Gender balance) katika miaka ijayo.
Maboresho katika katiba , katiba ni Sheria mama ya nchi , nchi ina ongozwa kwa fufuata katiba , katiba inayotumika kuongoza taifa la Tanzania ilinundwa mwaka 1977 .huu ni mwaka 2024 hivyo basi ni vyema kuwe na mabadiliko ya kisheria (2024) kwani katiba ina onesha kuwa na baadhi ya changamoto ndio mana ilipendekezwa tuanze kutumia katiba ya Warioba .kwa mustakabali wa Taifa hili napendekeza serikali kuipitisha katiba mpya kwa ajili ya malengo mapana ya Taifa hili.
Serikali kubuni mifumo ya kitehama katakika kufanya uchaguzi , Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) ibuni mifumo ambayo ita wafanya raia wa Tanzania kupiga kula mtandaoni kuliko kwenda kupanga mistari kila wakati unapo fika uchaguzi , ita saidia kupunguza gharama na uwakika wa uchaguzi kuwa wa haki endapo mifumo itakayo tumika itakua ya uwakika .
Maendeleo ya tekinolijia huchangia kwa ukubwa maendeleo ya siasa ya jamii .
Hitimisho , Kuna mambo mengi sana ya kuya elezea ili kujenga Taifa imara na lililo Bora Bali napendekeza machache hayo yaki tatuliwa ayo tuta weza kuwa na Taifa lilio imara ki uchumi ,kijamii na kisiasa.

Attachments
Upvote
2