N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Huyu Kambona huyu? alikuwa mjanja mjanja sana. Nani alikuwa anamtuma.
Baadhi ya Mikasa yake
MY TAKE:
Tupende kusoma, vitabu vina taarifa nyingi sana. Soma Kipande kinaitwa "Socialism on the Mount" Vol. 3 ya Bio ya Mwalimu
Baadhi ya Mikasa yake
- Odinga anamshauri arudi Tz, anakataa
- Anaunda tuvikundi huko Msumbiji kuleta mchafukoge Tz
- Anaalikwa Nigeria anamponda Mwalimu
- Anamleta ndugu yake Kenya kutoka London wanaanzisha kajarida ka udaku wanakapenyeza Tz kusambaza propoganda.
- Anafanya plotting ya Co detat anachemka
- Anarudi Tz 1992 baada ya miongo miwili Uingereza
- Anapiga mgomo siku ya uapisho wake kama Minister wa tamisemi
- Dah huyu jamaa!!!
MY TAKE:
Tupende kusoma, vitabu vina taarifa nyingi sana. Soma Kipande kinaitwa "Socialism on the Mount" Vol. 3 ya Bio ya Mwalimu