Red Scorpion JF-Expert Member Joined Feb 1, 2012 Posts 5,736 Reaction score 4,252 Jun 29, 2016 #1 Mtoto mmoja akiwa anatoka shule akielekea nyumban aliona paka mdogo akiwa amekufa. Akamsogelea na kumgusa kwa huzuni. Akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena. Kama nlivyosema stori ni ya kugusa sana.
Mtoto mmoja akiwa anatoka shule akielekea nyumban aliona paka mdogo akiwa amekufa. Akamsogelea na kumgusa kwa huzuni. Akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena, akamgusa tena. Kama nlivyosema stori ni ya kugusa sana.
C Capt Tamar JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 12,340 Reaction score 16,383 Jun 29, 2016 #2 Kweli naona hata wewe bado unaguswa!! Kwa stori hii
Nkungulume JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 2,987 Reaction score 1,209 Jun 29, 2016 #3 Capt Tamar said: Kweli naona hata wewe bado unaguswa!! Kwa stori hii Click to expand... Ndiyo akamgusa sana
Capt Tamar said: Kweli naona hata wewe bado unaguswa!! Kwa stori hii Click to expand... Ndiyo akamgusa sana
chollodehutch Senior Member Joined Jun 29, 2016 Posts 159 Reaction score 192 Jun 29, 2016 #4 Dah.....stori kwl n ya kugusaa