njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
2003 simba sc ilitikisa afrika nzima kwa kuwatoa mabingwa watetezi zamaleki waliokuwa kama weeks mbili nyuma wametoka kutoa draw na real madrid ya kina zidane,gutti kwenye club bingwa ya dunia
Marahemu james siang'a mkenya aliyekuwa kocha wa simba anasema kuna mtanzania mwenye asili ya kiasia (siyo mo dewji)aliongea naye na baadhi ya wachezaji kwamba wauze mechi kwa zamalek baada ya wa mirsri kuona ngoma ngumu hapa dar es salaam
Kocha msaidizi wa simba matola alikuwepo kwenye kikosi aanajua mengi zaidi yetu na mo dewji alikuwa na miaka kama 26 akawapokea simba na kuvua shati akiwa ndani ya fuso kusheherekea kuingia group stages
Fast foward jana tukiwa na matumaini ya kuingia nusu fainali tumelawitiwa na kazier chiefs nikakumbuka andiko langu hili shafii dauda adai aliiokoa simba dhidi ya yanga kuchukua wachezaji
www.jamiiforums.com
Shafih dauda adai aliiokoa simba .....
Katika comments za huo uzi nikauliza zimbwe na kapombe kama hamkanushi hii statement ya shaffih dauda mnatuhakikishiaje mkicheza na yanga au siku mkiboronga kama jana hamjauza mechi?
Haya sasa mlikaa kimya sababu mnajua wanachi wa tanzania ni mafala tu hata kukanusha mlikataa na ndugu dauda alionekana viunga hivyo mlipo huko...Haya bana whatever the case sawa tu ila hongera kwa kaizer chiefs tumelaawitiwa na hanithi walahi dahhhhhhh
Ushauri wangu kwa yeyote mwansimba aliye karibu na gomes mechi ijayo katikati awe lwanga,muzamiru kama namba 7,nyoni 8 ,mbele ni boko,chama na luis..
Mkude imetosha kwa sasa muacheni anywe pombe hawezi kusaidia mabeki wakizidiwa hata kama tuna mabeki wawili waliokula advance money ya yanga kwa mujibu wa shaffih dauda atleast basi tungeona hata kitu..

Shafii Dauda adai aliiokoa Simba dhidi ya Yanga kuchukua wachezaji
Maajabu yanaendelea baada ya kula mshiko wa zimbwe junior ikiwa malipo yake ya kuitukana simba na CEO barbra gonzalez shafii dauda anadai kwamba yeye anatakiwa ashukuriwe sababu kaiokoa simba KWANI KAPOMBE NA ZIMBWE WALISHASAINI PRE CONTRACT YANGA. Walahi yaani watu wanadai wao wanapigania...