*Leo I was in a daladala nikahisi kupolute ka hewa. Na since muziki ulikua mnene sana ndani ya daladala nikaamua nisijifinye saaaana.. Basi kwa raha zangu nikaachilia mzigo kwa sauti kubwa[emoji100][emoji100][emoji100]. Mara nikaona karembo kamoja white kakiniangalia with a smile [emoji4][emoji4][emoji4], basi nika blow kiss na nikawink*[emoji8][emoji8][emoji8]. *Sasa muda kidogo nikajiskia kujikuna maskio, hapo ndio nilijua kumbe nilikuwa na headphones na gari haikuwa na muziki*... [emoji134]♂[emoji134]♂[emoji134]♂
[emoji23][emoji23][emoji23]