pipi mti
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 764
- 514
Ikiwa kama njia ya kupunguza stress za maisha au kwa mfano ningekua na takwimu ningesema kujisahaulisha ukazaji wa vyuma[emoji23] [emoji23] .Hebu tujikumbushe story za watumiaji wa huu mmea wa marijuana maana hua zinafurahisha sana hasa ukipata msimuliaji wa lugha ya picha.
Kuna jamaa huku kitaa yeye hua akivuta basi anajikuta yeye ndio mrefu na mkubwa kuliko kila kitu sasa hua ananiacha hoi kila anapofika sehemu yenye nguzo za umeme ambapo waya zimepita juu yake yeye anainama ili apite bila kugusa waya[emoji23] [emoji23] [emoji23] .