Ikiwa kama njia ya kupunguza stress za maisha au kwa mfano ningekua na takwimu ningesema kujisahaulisha ukazaji wa vyuma[emoji23] [emoji23] .Hebu tujikumbushe story za watumiaji wa huu mmea wa marijuana maana hua zinafurahisha sana hasa ukipata msimuliaji wa lugha ya picha.
Kuna jamaa huku kitaa yeye hua akivuta basi anajikuta yeye ndio mrefu na mkubwa kuliko kila kitu sasa hua ananiacha hoi kila anapofika sehemu yenye nguzo za umeme ambapo waya zimepita juu yake yeye anainama ili apite bila kugusa waya[emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Nimecheka balaa [emoji119]
Mkuu hayo ni mashudu ya bange.ukivuta bangi za dizain hyo lazima upagawe
Icho kitu chenyeweMkuu hayo ni mashudu ya bange.ukivuta bangi za dizain hyo lazima upagawe
Kitu hiki hapa blazaIcho kitu chenyewe
Aiseee nmecheka kishenz mkuu yani wakavua nguo ili zisilowane ha ha haaaanakumbuka miaka ya late 80's. kuna jamaa walipiga kitu ya kanda maalum, waliranduka mchana kweupee, walipofika karibu na barabara ya lami wakavua nguo zote na kubaki na chupi tu. wakawa wanavuka barabara huku wakiwa wameshikilia nguo juu juu ili zisiloe. wengine wakiwa wanaruka kwenye lami eti wanaona ni mto. matokeo wengine wakachubuka magotini. kweli bange ni noma.
Aiseee nmecheka kishenz mkuu yani wakavua nguo ili zisilowane ha ha haaaa