Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majizi yote Simba yatakoma mmeharibu timu sanaKaburu saa hizi yuko Kisutu...
Sserunkumaism or Mavugoism!!! Eti MO kamkataa Ngoma, Mbumbumbu fc ni shedaaaa.Yatakuwa yale yale ya Dan Serrunkuma. Tumewazoea. Wa kiwango hicho aje Simba?
Toka lini MO akawa kocha?Sserunkumaism or Mavugoism!!! Eti MO kamkataa Ngoma, Mbumbumbu fc ni shedaaaa.
Ukistaajabu ya Musa utayaona na Firauni.Toka lini MO akawa kocha?
ThiefKaburu kafanyaje tena?