Straika anaekabwa na watu 5

Yatakuwa yale yale ya Dan Serrunkuma. Tumewazoea. Wa kiwango hicho aje Simba?
 
Mpira wa bongo ukiufatilia kwenye gazeti unaweza amini timu zake zikikutana na barcelona, barca italazwa hata week 1, ngoja msimu uishe sasa mshambuliaji anabeba golden boot na magoli 15!!😀..
 
Magazeti yetu ni udaku tu umejaa
 
Okwi kaletwa Kama mchezaji wa kihistoria wa enzi za 5 basi mikia wote shwariiiii,Mpira uwanjani.
 
Sasa ulitaka hao unaowaita mbumbumbu wafanye nini ilihali wewe unawaona mbumbumbu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…