Straiker mugalu

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,074
Hivi huyu Mugalu ana undugu na kocha ama wanagawana mshahara!?wapi MK14,wapi Kibu,wapi muhilu,wapi Ajibu?,tafadhali Simba sio timu ya kujaribu mizigo!
 
Acheni kudemkaaa ni bahati mbaya tuu mnasahau mazuri yake yote
 
YANGA WANAROGA SANA HIZI GAME NA SIMBA MTAMLAUMU MUGALU BURE TUFANYI HILI LIMEPITA WACHA LIGI LIANZE TUONE.
 
YANGA WANAROGA SANA HIZI GAME NA SIMBA MTAMLAUMU MUGALU BURE TUFANYI HILI LIMEPITA WACHA LIGI LIANZE TUONE.
Mbona hawajawaroga zanaco? River united?

Kwahiyo mwaka wa 4 wanaroga uchawi wao unashindwa kuwapa ubingwa?
 
WENYEWE WANASEMA BORA WAFUNGWE TIMU YOYOTE SIO SIMBA HIVYO WANAFANYA CHOCHOTE IPI WASIFUNGWE NA SIMBA BAADA YA HAPO UTASHANGAA WANAKUJA KUPIGWA NA COSTAL
Mbona hawajawaroga zanaco? River united?

Kwahiyo mwaka wa 4 wanaroga uchawi wao unashindwa kuwapa ubingwa?
 
Hivi punde Mugalu na yeye eti kapost status kwenye Instagram yake eti sisi tunaojaji kupaji chake ni wanafiki!![emoji28]sijaona tofauti ya molinga na Mugalu tena hata molinga alikuwa bora zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…