[emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]si tulikubaliana anahold mabeki?
Jamani vumilieni hiyo ni mechi moja tu.Binafasi Huwa sijaelewa kigezo Cha kumuacha chikwende unambakiza kagere au mzamiru yaani au pale kocha anapomuacha mkude bench anacheza taddeo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]DuuhHivi punde Mugalu na yeye eti kapost status kwenye Instagram yake eti sisi tunaojaji kupaji chake ni wanafiki!![emoji28]sijaona tofauti ya molinga na Mugalu tena hata molinga alikuwa bora zaidi