na wamepotoka zaidi kwa kuanza kuwatumia wachawi na waganga za jadi kukampeni, hofu ya kushindwa imekuwa bayana sasa.
Hawajaanza sasahivi,
Tangu mwanzoni mwa utawala wa JK, sheikh yahya amekuwa ni silaha muhimu sana katika utendaji wake na ulinzi wake dhidi ya wale wote wanaoonekana kutaka kupambana nae. Akina Butiku waliposema kama hatochukua maamuzi mazito watamtosa, mchawi yahya hussein akaibuka na kitisho kuwa atakayepambana na JK atakufa, wote wakanywea. Utaona kuwa hata ccm wenyewe hawana imani nae isipokuwa anatumia wachawi kujilinda, na bahati nzuri wachawi wenyewe wamejitokeza hadharani kuutangazia umma kwamba watamlinda!!
Kinachotakiwa ni yeye aseme hahitaji ulinzi wa majini ya Sh Yahya na si wewe umsemee au mtu mwingine vinginevyo wananchi tutaamini aliyosema Shehe ni ya kweli.Kwa mtu mwenye kufikiri vizuri hawezi kuyathamini na kuyachukulia uzito maneno ya SHEIKH YAHAYA. Pia ufahamu kwamba sheikh yahaya ni mtu mwenye uhuru wa kutoa maoni yake kulingana na yeye anavyoona. Watanzania wengi wanajua na kufahamu kwamba JK analindwa na vyombo vya serikali vya ulinzi na usalama na ufahamu pia hatujawahi kumsikia JK mwenyewe akisema kwamba anamtegemea sheikh yahaya katika ulinzi wake. LABDA WEWE NA SHEIKH YAHAYA MTUELEZE HUO ULINZI WA KICHAWI NI ULINZI WA NAMNA GANI?
6. Kuruhusu familia ya mgombea kushiriki kampeni in a big way kwa kutumia state apparatus
Kikatiba, she still is a first lady. Now, CCM made a mistake here if they truly allowed her to use serikalis infrastructure. We will how lawyers battle this one out..