Strawberries-mango milk shake

Strawberries-mango milk shake

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
14,568
Reaction score
16,917
Mahitaji

1)Strawberries

2)Embe ya kuwiva

3)Mtindi

4)Maziwa

5)Vipande vya barafu

6)Sukar

Namna ya kutaarisha..

1)Ondoa vichwa vya strawberries then zioshe

2)Osha embe na katakata vipande vidogo vidogo

3)Mimina katika blenda embe,strawberries,vipande vya barafu,mtindi,maziwa na sukari kiasi

4)Turn on blenda yako ice breaker mode kama inayo hiyo function unless barafu vunja ziwe ndogo ndogo

5)Saga hadi iwe laini

6)Enjoy strawberries-mango milk shake yako

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Attachments

  • 1393362864795.jpg
    1393362864795.jpg
    97.7 KB · Views: 368
Last edited by a moderator:
Yaani I had to buy a manual shaker. Sijui blender yangu Ina kihedemshede? Yaani milk shake inakuwa mchuziiii, aaagh!
 
Asante
Ila sasa znahtajika embe na strawberries ngapi au ni kadri tu nitakavyo?

Kiasi ila uwiano uwe sawa.....kuhusu maziwa weka kidogo dogo ila iwe nzito

Mie hupenda kutumia strawberries ambazo nimeweka kwa frezer ili inazidi kuwa nzuri na vibarafu barafu....m
 
Serious, hadi mtindi unakatika. Na Mie nataka shake iwe nzito. So I blend fruits pembeni, nachanganya mtindi kwa manual.
 
Serious, hadi mtindi unakatika. Na Mie nataka shake iwe nzito. So I blend fruits pembeni, nachanganya mtindi kwa manual.

Inayo mode ya ice breaker? Inaweza kukupa uzito au ukiwa unasaga unazima mara kwa mara isigike sana...
 
Kiasi ila uwiano uwe sawa.....kuhusu maziwa weka kidogo dogo ila iwe nzito

Mie hupenda kutumia strawberries ambazo nimeweka kwa frezer ili inazidi kuwa nzuri na vibarafu barafu....m

Asante
 
nice..umesema mtindi na maziwa ila sijaona sehem maziwa yametumika..nahis ni maziwa fresh ama? thanks lazima leo hii nitengeneze hii
 
nice..umesema mtindi na maziwa ila sijaona sehem maziwa yametumika..nahis ni maziwa fresh ama? thanks lazima leo hii nitengeneze hii

Maziwa yametumika wakati wa kusaga mamy....ndio unatumia maziwa fresh

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
nataman...ila hata sijui nitanunua wap hizo strawberry,ama kweli ushamba mzigo
 
Back
Top Bottom