Strawberries-mango milk shake

Shosti farkhina yaani ulijuaje? hii naipenda sana, halafu umepotea wewe,hujambo lakini?

Hahahaha ndio kitu hiyo apo...Sijambo mpenzi,nipo sana tu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mrs Kharusy kuja huku habibty

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwenye barafu ukiwa na blender ya kawaida tu inasaga vzuri bila shida? usipoweka barafu inakuaje?
 
Hapo kwenye barafu ukiwa na blender ya kawaida tu inasaga vzuri bila shida? usipoweka barafu inakuaje?

Haitasagiza vizuri ila ispokua na barafu hauna tatizo utaweka tu ipate baridi kwa friji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…