mpya9 Member Joined Aug 29, 2016 Posts 31 Reaction score 18 Nov 8, 2016 #1 Kwenye video hii nakuangazia msanii wa mziki wa Hiphop Tanzania Nikki wa pili akiongelea masuala mazima ya ubunifu, elimu pamoja na mambo mengine yanayohusu maendeleo ya jamii. SUBSCRIBE, SHARE NA COMMENT kujumuika nasi Shukran!
Kwenye video hii nakuangazia msanii wa mziki wa Hiphop Tanzania Nikki wa pili akiongelea masuala mazima ya ubunifu, elimu pamoja na mambo mengine yanayohusu maendeleo ya jamii. SUBSCRIBE, SHARE NA COMMENT kujumuika nasi Shukran!
wambeke JF-Expert Member Joined Aug 30, 2013 Posts 2,655 Reaction score 2,650 Nov 9, 2016 #3 Huyu jamaa anaelezea hata hajielewi kabisa. sijui Elimu yake ikoje