Hi dear
How u doing
Umeona ujumbe wa Kibweka
Umetulia sana aise
Mar'habaa...mi bukheri wa afya kabisa SL. Leo wifi yako anasafisha chumba cha wageni, nasikia utakuje leo kwetu...karibu
Khaaa wifi, hii ndoa ipo salama kweli? Isijekuwa umehama chumbani kwa kaka unalala chumba cha watoto. Mie habari nilizipata kwa aunt ako Husninyo, na hivi najivua gamba sitaki ushahidi.
Hi too lovely wifi.
Darling naona leo umejitahidi mpaka tumepata mgeni wa kutumia chumba..... (master bedroom leo utaiona chungu utatamani guest room)
Asante sana wifi...ntamtoroka mgonjwa kidogo nije kula lol.Naona hapo utamuuliza kakako.... Karibu saana nitakupikia your favourite food....
hhahahahaaa (leo nitalala na dada SL si ndio...manake hatuna chumba cha spare lol)
Kimbweka kwa ujumbe namkubali saaana....lol
Mie mzima kabisa, siku nyingi hatuja gongana...
Mpango wa kumtafutia PA mke unaenda vipi?
Asante sana wifi...ntamtoroka mgonjwa kidogo nije kula lol.
Kweli aise ni muda sana
nafikiri kuna la maana linakuja na tutakuwa pamoja sana
Mhhh PA na zama zake mpya anaruka kama swala hakamatiki
Kila ukitaka kumuweka kwenye angle anaruka mbaya
Kweli dear
Kibweka kwa ujumbe yuko juu sana na naukubali ujumbe wake sana
Oh' :shock: (Sweetie you are making me Dangerously MAD!)
Tatizo la Kimbweka ni kua hua anarusha post then yeye anasepa....lol
Akifikisha ujumbe anaona kisha maliza kabisa!
PA dawa yake ndogo, inabidi apate mtu atae teka moyo wake haswaa,
that hatajua what hit him....
Tatizo la Kimbweka ni kua hua anarusha post then yeye anasepa....lol
Akifikisha ujumbe anaona kisha maliza kabisa!
PA dawa yake ndogo, inabidi apate mtu atae teka moyo wake haswaa,
that hatajua what hit him....
hahaha then sweetie we shall share our normal bedroom, SL atalala chumba cha wageni....ameshasema atamtoroka mgonjwa lol
Ni kweli yaani Kibweka huwa hayupo kujibu post au hata kuchangia
yeye anarusha na kusepa anawaacha mnajikaanga wenyewe
Kama ni mbaya au nzuri hilo ni juu yenu
Ila nice one na ni nzuri kujua uko wapi na unasimamia wapi
PA sijui kama anajua hilo na sijui kama anajua kuwa ipo siku atakamatika
Yaani yupo yupo tuu hana uhakika na mambo yake
Love u mean hana kabisa hadi sasa hivi? Kuna Sweet Radhia....whatever...
Cheza na Kimbweka? lol
PA dawa ni kubadilisha jina.... Tufute hilo la The Finest to another one....
Yawezekana hata hicho chatisha mabinti... hahaha
Sweetie washangaa? you do know is a young version of you eeh? Do something Love arudi kwenye msari, kila siku abadilisha mabinti tu... hajui yupi na nani amtaka... Dah!
Yeah sound good
Na profile picture maana wakiiona ile picha wanajua huyu ni balaa hakamatiki
Aweke picha nyingine kabisa
Kwanza nishaona twaelekea siko... Shock imenifanya
nisamehe yooooote na the normal routine inarudi Mpenzi.
Hapa sasa nijiandae kukuandalia Lunch....