Strength of a Man & Beauty of a Woman

hahaha.... Sweetie ni makao yake pia... You remember ile thread ya office Romance ambayo ili spice up our Love? That is Kimbweka's.. (Hivo always appreciate him... if you know what I mean :eyebrows🙂

Ha hah tah ha kumbeee ..umeshanza kuporomosha siri eeeh....ohopoooo
 
haha Love TF mi namjua AD tu ndo wake...sasa kama amekuwa sharobaro tena tunamrudisha kijijini 'akalime'

Mie nafikiri kuna some hooks AD anazo juu ya PA ambayo mdogo wako hana ujanja hata akijifanya hana habari.... Cheza na strength of a woman.... lolz
 
Thats ma gal....am longing for a 'desert' as well...:tongue:

Jamani how can I prepare food without desert for my Love? Desert is a given Love....lol...
Just mention the kind of toppings you would want leo....:A S embarassed:
 
Umeona eeeh? Nashangaa hata kwa nini hajaanzisha uzi wa kujisifia kua kaweza na anasonga mbele....lol

Yaani kwake ingekuwa bomba
Ila tusubiri tuone mwaka huu utaendaje kwake na kama atakuja na jipya kabla ya mwisho wa mwaka
 
Tatizo la Kimbweka ni kua hua anarusha post then yeye anasepa....lol
Akifikisha ujumbe anaona kisha maliza kabisa!

PA dawa yake ndogo, inabidi apate mtu atae teka moyo wake haswaa,
that hatajua what hit him....

Wacha ncheke teh teh teh wewe AshaDii mbona mie bado nipo wala sijasepa
Halafu huyo wa kuuteka moyo wangu labda aje na silaha za maangamizi kuzidi za kwa Obama...
 
Daaah! Ashadii na wenzako mmechakachua uzi wa kimbweka mpaka raha...lol.

Nimetoka kidogo kukoroga uji wa mgonjwa uzi tayari pg 3???
 
Mwaka huu nitakua nae bega kwa bega.... Nimechoka kumpokea kila siku home kumpikia na hali umri wamruhusu kuoa....lol
 
Washatumark kuwa tunachakachua thread ya watu
Lol tuachane na PA bana we endelea kwa upande wako na mimi nitafanya lolote lile kwa upande wangu
SL uzi wa Kibweka uko pale pale
 
LOL....leo I would like it 'without' :tongue:
 
Wacha ncheke teh teh teh wewe AshaDii mbona mie bado nipo wala sijasepa
Halafu huyo wa kuuteka moyo wangu labda aje na silaha za maangamizi kuzidi za kwa Obama...

Sema tu leo umenoa aibu tumekusema....lol...

Kimbweka unafikiri hata atatumia silaha kali? Wee ngoja tu, mie yangu macho!
 
Daaah! Ashadii na wenzako mmechakachua uzi wa kimbweka mpaka raha...lol.

Nimetoka kidogo kukoroga uji wa mgonjwa uzi tayari pg 3???

SL mi Husny auntie kanipatia PW yake (don't tell lakini...lol)
 
Washatumark kuwa tunachakachua thread ya watu
Lol tuachane na PA bana we endelea kwa upande wako na mimi nitafanya lolote lile kwa upande wangu
SL uzi wa Kibweka uko pale pale
Mie mmeniacha bado nipo stand, sina hakika kama ntawakuta... Endeleeni na safari.
 
Washatumark kuwa tunachakachua thread ya watu
Lol tuachane na PA bana we endelea kwa upande wako na mimi nitafanya lolote lile kwa upande wangu
SL uzi wa Kibweka uko pale pale

R' mbona yoote tuloongea yako ndani ya topic? Hujagundua hilo?

Hata hivo naona nitoke nikapike kidogo....lol
 
SL mi Husny auntie kanipatia PW yake (don't tell lakini...lol)
Hahahahaaa! Mwandiko wako wafanana na wake kabisa... Kuna salam zako toka kwa ODM kwenye ule uzi wake wa maombi, nasubiri ujibu nirudishe majibu...
 
Tatizo la Kimbweka ni kua hua anarusha post then yeye anasepa....lol
Akifikisha ujumbe anaona kisha maliza kabisa!

PA dawa yake ndogo, inabidi apate mtu atae teka moyo wake haswaa,
that hatajua what hit him....

Love u mean hana kabisa hadi sasa hivi? Kuna Sweet Radhia....whatever...

Cheza na Kimbweka? lol

PA dawa ni kubadilisha jina.... Tufute hilo la The Finest to another one....
Yawezekana hata hicho chatisha mabinti... hahaha

Sweetie washangaa? you do know is a young version of you eeh? Do something Love arudi kwenye msari, kila siku abadilisha mabinti tu... hajui yupi na nani amtaka... Dah!

Yeah sound good
Na profile picture maana wakiiona ile picha wanajua huyu ni balaa hakamatiki
Aweke picha nyingine kabisa

haha Love TF mi namjua AD tu ndo wake...sasa kama amekuwa sharobaro tena tunamrudisha kijijini 'akalime'

Umeona eeeh? Nashangaa hata kwa nini hajaanzisha uzi wa kujisifia kua kaweza na anasonga mbele....lol

Mie nafikiri kuna some hooks AD anazo juu ya PA ambayo mdogo wako hana ujanja hata akijifanya hana habari.... Cheza na strength of a woman.... lolz

Yaani kwake ingekuwa bomba
Ila tusubiri tuone mwaka huu utaendaje kwake na kama atakuja na jipya kabla ya mwisho wa mwaka

Mwaka huu nitakua nae bega kwa bega.... Nimechoka kumpokea kila siku home kumpikia na hali umri wamruhusu kuoa....lol
:A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee::A S-coffee:
 
R' mbona yoote tuloongea yako ndani ya topic? Hujagundua hilo?

Hata hivo naona nitoke nikapike kidogo....lol

SL hajaona hilo amekuta uzi uko page ya tatu haamini
Ila yote yako ndani ya huu uzi na hivyo asiwe na wasi wasi kuwa kuna kuchakachua
PA msimamo wake lazima uyumbe tuu hana pa kwenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…