Stress, depression, frustrations, anxiety, insomnia

kufanya mazoezi ya kadri, kunywa maji safi na salama, kaa mazingira safi yenye hewa safi na kukaa na marafiki wako wapendwa.
 
Relax,be happy and live according to God's will...
 
Zamani nilikuwa na changamoto nyingi za akili na huwa naumia kwa vitu vidogo ila now days ni kujipa Mimi kipaumbele na ya wengine kuyaweka pembeni...Na huwa na meditate kila ninapopata nafasi..
 
Kama mbali na watu wenye mitazamo hasi
Sure 100%.

Positive attitude ndo suluhisho ya matatizo mengi, ukiwa na utaratibu wa kuishi katika maisha na watu wenye mtazamo chanya hata maisha yataanza kubadilika na kuwa bora siku hadi siku.

Kuwa karibu na watu wenye mitazamo chanya kwa afya ya akili na upeo wako.
IMG_69201820352.jpeg
 
Me huwa naweka karaoke au naenda kutembea mida ya jioni napokua na stress.
 
Zamani nilikuwa na changamoto nyingi za akili na huwa naumia kwa vitu vidogo ila now days ni kujipa Mimi kipaumbele na ya wengine kuyaweka pembeni...Na huwa na meditate kila ninapopata nafasi..
Me pia nilikua kama we yani watu na marafik wa karibu walinitumia sana halafu kuwaacha nikawa naogopa, yani hata kukaa mbal na mtu anaeniumiza nilikua naogopa lkn saiv napiga moyo konde nahakikisha Mimi ndo ninafuraha wengine watajijua wenyewe
 
ndo hiko kinachotakiwa kufanyika...Ten gene a dunia yako..kuwa wewe ndo mfalme wa dunia..na utengeneze furaha yako...Kwanini uhuzunike wakati tumeletwa duniani tufurahi
 
Wanawake wengi tunaona tunapitia hayo

Kwenye kukosa mume/ndoa
Kukosa mtt
Usalit wa mume/mpenzi
Kukosa kipato
N.k.nk

Na mpaka mwanamke asongwe na vyote hivyo kwa pamoja na kumshusha chin kakubal haswa kuendeshwa na emotions

Ila ukiangalia ambao wanaume wanatufanyia vingi wao ndo yanawakumba na kupelekea kufa mapema sana

Wanatusalit na sisi hatuwez kaa kimya tunaongea tunalia kinatoka moyoni

Ila wao ikatokea mf. Umemsaliti lile kosa atakaa nalo moyoni na kuanza kumteketeza kidogo kidogo
Wanaume hawawez himili mikik mikik kabisa

Pamoja na wanayotukosea haina budi kuwaombea sana na kuwasamehe ,,tuslipe baya lolote lile tuwatendee yaliyomea na Mungu atafungua milango yetu

Muwe na asubh na jumapili njema
 
Neema nisaidie nitolee depression pls[emoji7]
 
Back
Top Bottom