Mkuu, unasumbuliwa na lipi kati ya hayo nikupe dawa?Salaam
Haya in baadhi ya magonjwa ya afya ya akili yanaweza kumsababishia MTU madhara makubwa na hata kifo
Je ni mbinu zipi MTU anaweza kuzitumia ili kukabiliana na tatizo LA afya ya akili
Sam
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, unasumbuliwa na lipi kati ya hayo nikupe dawa?
Sure 100%.Kama mbali na watu wenye mitazamo hasi
Me pia nilikua kama we yani watu na marafik wa karibu walinitumia sana halafu kuwaacha nikawa naogopa, yani hata kukaa mbal na mtu anaeniumiza nilikua naogopa lkn saiv napiga moyo konde nahakikisha Mimi ndo ninafuraha wengine watajijua wenyeweZamani nilikuwa na changamoto nyingi za akili na huwa naumia kwa vitu vidogo ila now days ni kujipa Mimi kipaumbele na ya wengine kuyaweka pembeni...Na huwa na meditate kila ninapopata nafasi..
ndo hiko kinachotakiwa kufanyika...Ten gene a dunia yako..kuwa wewe ndo mfalme wa dunia..na utengeneze furaha yako...Kwanini uhuzunike wakati tumeletwa duniani tufurahiMe pia nilikua kama we yani watu na marafik wa karibu walinitumia sana halafu kuwaacha nikawa naogopa, yani hata kukaa mbal na mtu anaeniumiza nilikua naogopa lkn saiv napiga moyo konde nahakikisha Mimi ndo ninafuraha wengine watajijua wenyewe
Neema nisaidie nitolee depression pls[emoji7]Wanawake wengi tunaona tunapitia hayo
Kwenye kukosa mume/ndoa
Kukosa mtt
Usalit wa mume/mpenzi
Kukosa kipato
N.k.nk
Na mpaka mwanamke asongwe na vyote hivyo kwa pamoja na kumshusha chin kakubal haswa kuendeshwa na emotions
Ila ukiangalia ambao wanaume wanatufanyia vingi wao ndo yanawakumba na kupelekea kufa mapema sana
Wanatusalit na sisi hatuwez kaa kimya tunaongea tunalia kinatoka moyoni
Ila wao ikatokea mf. Umemsaliti lile kosa atakaa nalo moyoni na kuanza kumteketeza kidogo kidogo
Wanaume hawawez himili mikik mikik kabisa
Pamoja na wanayotukosea haina budi kuwaombea sana na kuwasamehe ,,tuslipe baya lolote lile tuwatendee yaliyomea na Mungu atafungua milango yetu
Muwe na asubh na jumapili njema