Stress, depression, frustrations, anxiety, insomnia

Jipende, Jijali, kuwa na watu wenye mtazamo chanya na wewe pia kuwa na mtazamo chanya.
 
Hakuna cha "anxiety" wala "depression" hizo zote ni roho za adui, kama hauna mahusiano mazuri na Mungu zinakuingia na outcome zake ndiyo hayo mnayoyaita magonjwa.

Thus why hakuna mtu aliyeenda kwa daktari akachukuliwa kipimo cha damu au mkojo au choo baada ya kupimwa akaambiwa unaumwa "depression".

Tiba ni kutengeneza mahusiano mazuri na Mungu hasa kwa kusoma sana Neno.
 
huwaga na amini katika kufnya mazoezi ya kukimbia au mengine pia.
kuwa karibu na marafiki kwa kushirikiana katika vitu tofauti vya kufnya usahau mambo yanayokuumiza kichwa kwa mda flani
suluhisho lingine ni kusema mambo yanayokusumbua kwa mtu unaye muamini na atakaye kupa ushauri mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…