emmyta naye kama wewe tu!Usijali.
Ivi Dada yangu emmyta bado anapitaga huko?
PoapoaUsiku mwema wapendwa mlale salama.
Ahaaa.Shades of sin
Jirani usiniharibie basiHaha
Hiyo picha veeepee
Isidingo ni jioni saa mojaAhaaa.
Nilidhani Isidingo
Dasa yangu namjua jimbo lake tu, huko anaenda kwa machale piaemmyta naye kama wewe tu!
Sawa JiraniJirani usiniharibie basi
Nimeacha kuiangalia tangu 2011,sasa nimeshasahau na muda wakeIsidingo ni jioni saa moja
OoohNimeacha kuiangalia tangu 2011,sasa nimeshasahau na muda wake
Nawe pia JiraniMlale salama
Kunako majaliwa tena
Ni kulana babe vile ke na me wakiwa kwa bed[emoji3] [emoji3] [emoji3] huo msamiati hapo juu ni English au kichaga.
Ahahhahaha we si kuna siku nilikuona sehem unajisifia na hiyo avatarJamani.
Shunie ebu fanya mambo na mimi nipate PM.
Nimebadili avatar hali bado mbaya tu.
Ringa baba zamu yako leo[emoji3] [emoji3] [emoji3] ndiyo maana unaona leo naringa
Ahahhah ukweli upi dada jaman zaidi ya huu ninaokwambia tatizo huwa huniaminiSema ukweli bhana
Shunie wengine bado watoto hayo maneno veeepeeeNi kulana babe vile ke na me wakiwa kwa bed
Kweli Mwifwa huwa nafika nawasoma tu na kutoka sielewi mie kuna siku nimepost nikachuniwa toka siku hiyo sijarudiMmmmhhh
Me walinichunia sijui mnajuana wenyewe kule kwa kujuanaNaupenda balaa
Wapi shunie hali bado ngumu hapa....Ahahhahaha we si kuna siku nilikuona sehem unajisifia na hiyo avatar
Ahahahha hanywagi huyoSakayo leo nadhani amepiga hii