Asante JiraniNa wewe pia
Poa shem Mwenyezi Mungu akutangulie.Jamani
Mlale unono, mie naingia mzigoni
Usiku mwema jirani[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji178] [emoji178] [emoji178]
Wapi huko mkuuTwende mama...
Asijefungwa mdogo wangu, miaka 30 si mchezoKwani sakayo umri wangu anataka aufanyie nini, au anataka akate rufani [emoji23]
Mmh babe jaman [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Muulizenu shunie anajua,mana nikisema mimi mtasema nadanganya bure.
MmmhMacho yng bana: eti nimesoma hapo mauno...
Mbavu zangu mie [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Asijefungwa mdogo wangu, miaka 30 si mchezo
Mlale unonoMuwe na usiku mwema wote
AmenPoa shem Mwenyezi Mungu akutangulie.
Huyo ndio shem wako mzoee tuSiwezi kusikiliza maneno ya watu babe, unajua kuna watu humu wanatuombea sana mabaya.... hasa huyu mtu mmoja huyu yani amezidi....
Jirani[emoji7] [emoji8]Usiku mwema jirani
Sasa nitamuuliza wapi mimi jamaanSa ndo uulize hadharani babe
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji188]Mbavu zangu mie [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mwambie apunguze presha kabisa mana siku hizi umri sio tatizo kabisa.... wewe mwenyewe si unaona jinsi Irine Uwoya alivyotulia kwa janjaroAhahahhh anasema ana wasi wasi eti naweza niingie kwako kumbe kiben 10 amesema atakuja kunitoa na difenda
AhahahhhhAkikuagizia ndizi mnuno unaisha ! [emoji3][emoji3]
We nicheke tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
SawaTwende mama...