Stress Free Zone

Mkuu wewe ni muhenga hapa JF lakini inaonekana hauko active sana.

Hujaweka girisi kama mzee alivyoshauri?
Ha Haa Haaa....ni kweli mkuu, ndo miongoni mwa wale members wa mwanzooni kbs enzi hizo jf inaitwa jambo forums. Majukumu Mkuu na vyuma ndo tumeambiwa tuweke girisi... Any way najaribu kufuata ushauri wa mzee tuone jee vitalainikaa??
 
Kweli kabisa maana mambo ya siku hizi ni simple hadi Expansion joint zinatufanya tupumue vizuri [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sisi wengine girisi yetu ni hili jukwaa ambapo tunatoa stress za hapa na pale huku siku zikizidi kuchanja mbuga
 
Ha haa haaaa.....hatari sn mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…