Stress Free Zone

Mpe hii Sakayo.

Naona mnapokezana maana jana kasema ulikuwa unapombeka sijui wapi[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Hahaha!

Hakuna mkuu! Jana nilikuwa kwenye pre-Chrismas party tuu.

Wala sikupombeka mimi.
 
Hahaha!

Hakuna mkuu! Jana nilikuwa kwenye pre-Chrismas party tuu.

Wala sikupombeka mimi.
Kwa hiyo nililishwa matango mjini na Sakayo eehhh!!

Anyway, mwambie ubwabwa wa festivals asinisahau, maana mapupu siku hizi wamehamia yale ya katika ya miguu ya watu kitu ambacho mimi nakosa sifa ya kula hayo mapupu[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…