Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Yani nadhani kesho nitaamka saa nne, sijazoea kabisa kulala mida hiiBabe kama unakunywa kunywa kidogo tu ujilalie mpaka saa hii
Haujazoea kweli poyeeYani nadhani kesho nitaamka saa nne, sijazoea kabisa kulala mida hii
Acha utani kabisaNimemuhamu sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Sakayo naona leo kachukua nafasi yako ya kuwahi kulala
Asante, yani nikichelewa sana 2230Haujazoea kweli poyee
Mwenyewe ujue sina usingizi kabisa nipo kwa bed na taa nimezima yaan[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tunalifahamu hilo na sakayo wanguAsante, yani nikichelewa sana 2230
Hivi mmejuaje lakini nyie watuTunalifahamu hilo na sakayo wangu
Pole mkuu pambana we mwanaumeH.E.L.A imekuwa ngumu hata silali
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Babe umemfanyaje mwifwa
Yani hata siju, nadhani wivu tu unamsumbua.
Kila siku unaaga huo mda saa4 hivi au 4 kasoroHivi mmejuaje lakini nyie watu
Yaani shunie ungejua......[emoji125] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Huo wivu atakufwa nao tu
Ajinyonge kabisa
Shunie mbona babe wako anakataa nikuhamu.Acha utani kabisa
Mimi sipati usingizi naiota kila mudaH.E.L.A imekuwa ngumu hata silali
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kila siku unaaga huo mda saa4 hivi au 4 kasoro
Tulia basi mkuu, usimwage mcheleYaani shunie ungejua......[emoji125] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Ningejua ninii tena weweYaani shunie ungejua......[emoji125] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Unanihamu vipiiii anaetakiwa kunihamu ni youngShunie mbona babe wako anakataa nikuhamu.
PambaneniiiMimi sipati usingizi naiota kila muda