Sijui kama atarudiAkikujibu nitag
Jirani sio kwa kutekwa hukoooWatu wa humu! Wapendwa wa humu! Nawasalimu sana!
HahaaahaAhahahhh mwehu wewe
Kwani ameagaSijui kama atarudi
Akuu huku jf huku nyumbani kila siku nabebishwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahaaaha
We hujamiss kumbe
Huyo huwa haagiKwani ameaga
Kweli? Mbona jirani yako sijajua kama una chamgamoto kama hiyo?Halafu siku nyingi sijabebishwa
Mbona nimekuwish! Japo nlichelewa kuonaHatujambo naomba zawadi yangu sakayo ndio anapoke hivi wewe wa kutoniwish mm
Hapana. Jirani. Sijawahi kuwa mbinafsi wa hivo!Akikujibu nitag
Sijawahi kuwa wa hivyo. Unanifananisha na mjukuu wako? Si ndio?Sijui kama atarudi
Hapana. Sijatekwa. Dizaini kama watekaji hawana mpango na mimi! Na nilipojipeleka kutekwa inaonekana mtekaji kama hamikubali hivi!Jirani sio kwa kutekwa hukooo
Bibi unanionea!Huyo huwa haagi
WoooiAkuu huku jf huku nyumbani kila siku nabebishwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
AiseeHuyo huwa haagi
HahaKweli? Mbona jirani yako sijajua kama una chamgamoto kama hiyo?
Kwa nini lakiniiiHapana. Jirani. Sijawahi kuwa mbinafsi wa hivo!
AiseeeHapana. Sijatekwa. Dizaini kama watekaji hawana mpango na mimi! Na nilipojipeleka kutekwa inaonekana mtekaji kama hamikubali hivi!
Bibi unanionea!Huyo huwa haagi
Haha
Mambo Jirani