Acha uogaHuyu Mi simuwezi
Jf ni sheeda aiseeHahaaaaa
Watekaji wapo kila kona, acha tuEbu nipe siri umejipeleka wapi huko usipokubalika
Kwahiyo mmeshampataNilikuwa Dodoma namchagua MKiti wa chama!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie yaan slim we ni muongoSana. Na nina aibu. Sa ndio napata tabu sana na hawa akina Bi Mwenda!
PoleWatekaji wapo kila kona, acha tu
Ndio. Alishinda kwa % 99Kwahiyo mmeshampata
Unataka kuniweka wapi?Pole
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliyategemea hayaMlale salama wapendwa
Sina pakukuweka pambana tu na hali yakoUnataka kuniweka wapi?
Hali yangu napambana nayo bibiSina pakukuweka pambana tu na hali yako
Ulitegemea nini tena babe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliyategemea haya
Leo utahesabu mpk screws za gypsum[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliyategemea haya
Yule mtu alikua anataka kumuhonga sakayo ili amuweke kwangu aliambiwa ataje umri akakataa sakayo akamwambia abaki na hela zakeHapana. Kuna pahala nilimuona Sakayo anambananisha aseme umri wake, yule mtu nae akawa anasema hela atampa jirani lkn umri usihusike! Ndio nikaona nisogeze bawa langu, mie Kunguru wa Unguja!
Nilitegemea ukija utaaga hapo hapo me mzima jaman hofu kwako tuUlitegemea nini tena babe
Mzima lakini?