Sasa na wewe muasisi wa hiki kijiwe uache kujiteka[emoji23]Yani hebu turudi nyumbani [emoji1]
Sakayo naona kama amechezea ban au macho yanguu
Mmh!sakayo na ban tena??uuwiii[emoji134] [emoji134]Sakayo naona kama amechezea ban au macho yanguu
[emoji23][emoji23][emoji23]nisije kutoka vigimbii wifii vya kwenye ngokoMaliza majukumu uje wifi yangu wa faida wewe[emoji1][emoji1][emoji1]
Nitakupeleka kule kwetu milimani[emoji23]
Na mimi nimeona aiseh!Sakayo naona kama amechezea ban au macho yanguu
Basi tutarud rasmiSahivi napatikana wajumbe ndo hamuonekani kabisa [emoji23]
Poleee yake kwa kweli jamanNdio sijui kakutana na maswaibu gani tena.
UuuwiiiiKwa kule kwetu same jiandae [emoji23][emoji23]
Sahau kuhusu [emoji151] [emoji23]
Polee yake tuNa mimi nimeona aiseh!
Sijui kafanya nini masikini
Siku hizi ukiingia siasani unakula banNahisi kutakuwa na kirusi kimemvuruga.
Tangu nimjue huku hajawahi kupata ban
Nimeshajiandaa saiv nafanya mazoez kabisaaaKwa kule kwetu same jiandae [emoji23][emoji23]
Sahau kuhusu [emoji151] [emoji23]