Eeeh bana eeh!Hapana love, nilikuwa naenda kumsalimia shemeji carbamazepine wa Kichwa Kichafu tu
[emoji122][emoji122][emoji122]Hapana baby huyo hana madhara ni jirani yangu kichwa kichafu mpenzi wake carba
Asante babaaNakuona nakuona...
Redbull inakuja..
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji122][emoji122][emoji122]
Cc:Jose [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baby wangu hana shida chochote ukimueleza anaelewa [emoji6]
Kama mimi[emoji7][emoji7][emoji7]Nakumiss kishenziii
Leo kijiwe kimepoa, kulikoniHivi Shunie leo yuko wapi
Jirani ndio maana nadhamini huu ujirani wangu na wewe.Niambie jirani yangu leo hawajakuonea huruma wakufungulie pm japo kidogo hao warembo???
Hiyo veeepe ni veeepeHuku veepe
Mzima wa afya tele hofu kwakoSalama mzima wewe.
Nipo napambana na network huku nilipo iko low hadi inaniudhiNaona wako busy sana watakuja tu
Leo ulipotelea wapi
Nadhamini[emoji777]Jirani ndio maana nadhamini huu ujirani wangu na wewe.
Hamna huruma kule
Ati alienda kusomea nini?[emoji16] [emoji16] [emoji16]Nadhamini[emoji777]
Nathamini[emoji818]
Hivi huko shuleni ulienda somea ujinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Jirani ndio maana nadhamini huu ujirani wangu na wewe.
Hamna huruma kule