Hujafuatilia Soga yetu eehHivi ni nini lakinii
SijamboHujambo Sakayo
HapanaHujafuatikia Soga yetu eeh
Mahaba[emoji3] [emoji3]Sijambo
Shkamo Mwifwa
[emoji106]Hapana
Naona umehama kijiwe kamandaMahaba[emoji3] [emoji3]
Habari za j4?
[emoji106]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Naona umehama kijiwe kamanda
Uji wa leo umejitahidi hadi nimeshangaa hivi ni we kweliKichwa Kichafu yeye hanywi chai eti,asubuhi kama hivi anakunywa uji[emoji23][emoji23]
Ndio nimeamka unavyodekeza si poa kabisa[emoji6] [emoji6] [emoji6][emoji23][emoji23][emoji23]yaani we acha tu,halafu sijui hajaamka hadi saahii
Eti Kichwa Kichafu hujaamka tu??
Mbona tunaeleweka[emoji23] [emoji23]Sikuelewi na huyo KK[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji102]Bora um cc KK kwakweli maana hali mbaya[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwel aisee ila mimi naona kuna sababu kubwa imekuleta huku [emoji124] [emoji124][emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kubadili mazingira sio vibaya
Nipooooo majukumu tu mwifwa yaanPoa tu Shunie umeadimika sana
Kho kho kho cuzoo malizia basi avatar ya nani etiiiKumbe upoo
Mambo
Nipo mamy.
Shwariii naona umeweka avatar ya[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ebu tusimulie kidogo uliachika eenh kwahiyo shemela kakusamehe[emoji23][emoji23]ni stori ndeeeefuuu acha tu
Niambie bhanaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mahaba yamezidieee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi mliacha kupika maandazi we na shunie?
Mwifwa ebu tulipe jamaanNaona biashara yetu ilikufa tulikula mtaji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Una utani na Shunie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tulipe bhana
Achana na mapishi ya google dogoUji wa leo umejitahidi hadi nimeshangaa hivi ni we kweli
Napunguza dozi[emoji6]Ndio nimeamka unavyodekeza si poa kabisa[emoji6] [emoji6] [emoji6]